Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
YaaaaahKung'ang'aniza urafiki, mahusiano
[emoji2][emoji2]kuvaa visendo vya manyoya
😂😂😂😂 hiyo umeona wapi?kuvaa visendo vya manyoya
Sahihi kabisaMwanaume kutumia iPhone sio vibaya ila ukijisifu huo ni umama
Mwanaume kutoangalia mpira
Kusapoti mademu badala ya mchizi mwenzako
Mwanaume kuwa mmbea kuwasema washkaji kama hawapo waseme wakiwa round wakusikie acha tabia za kike
Mwanaume kukaa na kitu moyoni huo ni udada sasa
Mwanaume kulia lia hovyo lia Mara moja tu na ujifiche tusione machozi yako ili umwage sumu
Mlimani City😂😂😂😂 hiyo umeona wapi?
Umemaliza mkuukuvaa visendo vya manyoya
Mamboz!!Kwa humu jf ziwaendee wale wanaume wanaojifanya ujuaji mwingi na dharau zisizo na kichwa wala miguu tena kwa mtu ambaye hata humjui zaidi ya kuona maandishi tu.
Punguzeni kwani huwa tunawatoa kwenye kundi la wanaume kamili.
Birds of the same feathers flock together......Ukiona unatumiwa meseji za design hiyo tambua mpo kundi moja
Ongeza sauti dada waskieKwa humu jf ziwaendee wale wanaume wanaojifanya ujuaji mwingi na dharau zisizo na kichwa wala miguu tena kwa mtu ambaye hata humjui zaidi ya kuona maandishi tu.
Punguzeni kwani huwa tunawatoa kwenye kundi la wanaume kamili.