Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

Bibi yangu alikataa kabisa kutibiwa na vijana wadogo hawa wengi wao nidhamu ni 0 kabisa.

Mpo na mtu mzima mnamtibia, kama ndo kuna hao wauguzi wawili hawaachi vistory vyao, ishu ya kumfariji mgonjwa kwao ni changamoto.

Ila pamoja na hayo kumchanja wife hilo hapana aisee, mambo ya operation siyakubali kabisa..
 
Ukienda hospitali za serikali hasa zile za Wilaya na Mkoa (Rufaa) ndiyo vimejaa hivyo vitoto vya kiume vya field! Ukivikuta vimevaa visuruali mlegezo, na vya kubana!

Kuna wakati mpaka najiuliza hivi miaka ijayo tutakuwa na madaktari wa aina gani! Maana hata maadili ya kazi havina. Ifikie wakati wamama wajawaziti waamzishe tu mgomo wa kuhudumiwa na hivi vitoto vya field.

NA HAPO KUNA MABWEGE WANAPINGA HUU UZI
 
Bibi yangu alikataa kabisa kutibiwa na vijana wadogo hawa wengi wao nidhamu ni 0 kabisa.

Mpo na mtu mzima mnamtibia, kama ndo kuna hao wauguzi wawili hawaachi vistory vyao, ishu ya kumfariji mgonjwa kwao ni changamoto.

Ila pamoja na hayo kumchanja wife hilo hapana aisee, mambo ya operation siyakubali kabisa..
Hawa watoto wa field ifikie wakati wawekewe mipaka. Maana bado wengi wao wana utoto mwingi.

 
Mimi nitachagua mwanamke amhudumie, huo ujinga unanikera sana.

Nina kaka zangu wawili katika sekta hiyo (mkubwa na mdogo). Sasa bro mkubwa yeye yupo kwenye ealy 30s ameshajitambua, akifanya mambo hayo humsikii akitamba na anaheshimu kazi yake. Shughuli ipo kwa dogo (early 20s), linasimulia linavyofurahia zoezi na huwa linadinda kabisa, wagonjwa wasio na waume huwa wengi wanaacha namba za simu na wanaishia kuliwa. Dogo likisimulia huwa nacheka ila moyoni naona kabisa siwezi kuhimili upuuzi huo.
Hahaha mtakoma
 
Bongo tabu sana sasa hutaki mkeo apimwe njia ikitokea la kutokea hao unao wakataa wasi mpime njia watakuwa msaada kwa mke wako.
.
Kama utaki nenda VIP tu
 
Cervix lazima I dilate Cm 10 si chini ya hapo ndio anaweza kuzaa natural birth/normal delivery haijalishi mimba ya 1 au ya 10.

Kupima njia ni kawaida sababu njia hufunguka cm 1 Kila Baada ya lisaa na active labor huanzia cm 4-6 ambapo inaweza kudumu masaa 6-8

Hivyo lazima kupimwa njia mara kwa mara kuona kuna progress yoyote kwenye cervix ku dilate je wamuwekee miso pistol kidogo kusaidia ku dilate cervix au wamuwekee drip ya oxytocin au afanyiwe C-section.

Pia kupima njia Kuna kitu kinaitwa ku sweep Wakunga na Dr wanajua inasaidia ku dilate cervix.

Ukileta mawazo ya kijinga somea ukunga uzalishe mkeo 😁Yaani kumpasua mtoto wa watu kisa asipimwe na Dr walo field huo ni Ukatili kama Ukatili mwingine maana oparesheni Ina mateso milele halafu hata hao Dr wakubwa walipitia field.kusema mtoto alikaa vibaya wampasue Dr lazima waombe upige utra sound wiki ya 36 ili kuona mtoto kakaa cephalic position (kutanguliza kichwa)au Breech position (kutanguliza makalio) wengine mpaka mkono mguu au kama Kuna cord around the neck(kitovu kujifungua shingoni kwa mtoto)hivyo ukienda akasema report lazima nae apime tu kujidhihirishia ndo afanye uamuzi wa op haswa kwa mimba ya kwanza huwezi zaa breech position lazima kisu mimba zaidi ya moja unazaa tu kimatako matako.

Na kuhusu ulokuta wanajadili kuhusu papuchi laini walokutana nayo Wana haki ya kusifia hata Ma Dr husifia papa safi maana wanawake wengi wakiahakuwa wajawazito basi hawajijali Tena na wabongo wengi wanawake ni watu wa kujali muonekano wa nje sababu waonelana sio uchi wake Wala mapaja makalio utakuta mdada mzuri uke mweusi mapaja meusi matako mapele hawana muda wa scrub kabisa Wala kupkaa moisturizer.

Nakumbuka mwanangu wa kwanza nilikuwa napenda chooni kuoga na kunawa niwe msafi wenzangu unapoza uchungu muda wa kupima Nesi akaomba jamani Dr anataka awapime ila mkanawee jamani mnakuja kupima sio Wasafi kama chupa haijapasuka unawe chupa ikipasuka ndo huruhusiwi kuweka mkono utapeleka infection kwa mtoto maana kizazi Kiko wazi.
 
Back
Top Bottom