KARIA
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 717
- 473
Umepewa taarifa kuwa mkeo wa ndoa kakaa na hawara yake bar, ile unafika pande zile unamsikia hawara yake akimwambia mkeo "beby chukua hizi laki saba kampe mumeo mwambie kesho ila ikifika mwisho wa mwezi nitakupia tukutane nikupe milioni 80 umpatie afanye biashara ili awe bize asitusumbue baby wangu" Je! kama ndio wewe utaanzisha mtiti au utazisubiri hizo milioni 80?