mwanaume kama huyu ni wa kundi gani....................

Kama ulikua hunitaki kwa nini ulikuwa anazikubali offer zangu na pesa zangu? Liwalo na liwe Damn....
 
sasa nakushukuru sana kwa kuniletea hiyo ink hapo. mtu huyu huyu ndiliyeomba ushauri hapa jamvini ndiye ambaye bado ananisumbua sana haya wewe unamweka kundi gani?

Namuweka kundi la mwanaume lijari, anaejua matumizi pesa, mtu asiependa kuongea maneno mengi kama mimi since money talks so loud na kuhonga si ujinga ni nature ya mwanaume na inaaminika hamna mwanamke anaeweza chomoa mbele ya pesa ilimradi muhongaji afikie viwango alivyojiwekea muhongwaji. Katika kukuchafulia kwa bwana ako hapo simsupport kabisa.
 
still ni mu huyo huyo mmoja na nimemkatalia ila hanielewi sasa anatumia childish tricks nimweke kundi gani?
Coincidence ya ajabu eh? Kwamba mmeshawahi kwenda lunch mahoteli ya kifahari. Afu ghafla bin vuu mkakutana kwa bahati nzuri kwenye basi Arusha hukooo????? Mshefa kumbe anapanda basi? Mtu anapanda basi afu akuhonge weye gari? Khaaa!!
 
Sio vizuri kupoke gift kutoka kwa mtu usiyemfeel,unakubali kutoka nae kwenda matembezi,baadae mnakamua msosi mgahawa wa nguvu,then akiomba mchezo unamrusha.not fair atall.vyake wataka,wewe utaki kutoa mhhh!

yaani mkuu hivi ukikaribishwa lunch utakataa? to me naona ni fair tu kwenda so long as sijaomba nitolewe na ujue kabisa nataenda pasi returns. mbona ni kawaida sana? yaani miye lunch kwenye migahawa mikubwa ni kawaida but with friends and no commitment sasa unapokuja kupropose ukipigwa chini ujue ni kawaida tu. wwe wafikiri faida ya kuwa mwanamke ni ipi? ni pamoja na hiyo kutolewa lunch and so forth. siwez eleewa eti ni mwanamke mwaka mzima naenda ofcn asitokee mtu hata mara moja kwa miez 3 akutoe lunch??? sijawah kuona hiyo mimi.

tena ngoja nikwambie mimi ni mwanamke hata mkeo anatolewa sana tu ila ishu ni kwamba si kwasababu kuna mapenzi n btn bali ni kama friends tu. mimi hapa sijaona aliyejibu swali langu la msingi kwamba mwanaume kama huyu unamueka kundi gani?
 
kwani alihsawah kukutafuta huyu mkaka?.........................nafikir ndio tabia yake asee................
tena naona huyo anajiheshimu hajawahi kunitafuta! ila nadhani huyo mpenzio ndiye haswaaaaaaa aliyenitafuta! muosha, huoshwa dada!
 
still ni mu huyo huyo mmoja na nimemkatalia ila hanielewi sasa anatumia childish tricks nimweke kundi gani?
kwa hiyo kumbe ni huyuhuyu wa dar express la arusha? lakini ulionesha kumzimikia..sasa kosa lake ni lipi? kama hujaolewa wewe ni fair game tu. hata ningekua mimi ningeng'ang'ania kama ruba hadi kieleweke.
 
Coincidence ya ajabu eh? Kwamba mmeshawahi kwenda lunch mahoteli ya kifahari. Afu ghafla bin vuu mkakutana kwa bahati nzuri kwenye basi Arusha hukooo????? Mshefa kumbe anapanda basi? Mtu anapanda basi afu akuhonge weye gari? Khaaa!!
khaaaaaaaaa! ngumu kumeza, ila kiukweli wadada wa mjini mnachefua, mnapenda kula vya bure, kuhongwa, yaani starehe kwa ujumla, ikitokea kidumu nacho kimejua, lawama zinaanza kama hivi ili uonekane mwema kwake, una tabia mbaya!

kwanza kama kweli ulimpenda huyo mpenzio maana si mumeo, tena ukute ushaolewa na hicho ni kidumu! kwanini hukumwambia the very first day, kuwa kuna mtu ananitongoza, anataka kunitoa lunch! wewe ni mnafiki, umeona kimenuka ndio unakuja kujisafisha hapa, JAMANI UKIMWI UNAUA!
 
jamani hivi kukutana kwenye basi ni tatizo hawez kuhonga british car? umeisoma hiyo post yangu ya kwanza? huyu tulipofika arusha alileta gari yake ikanipeleka home na hutukuwa zaid ya kusalimiana na kupiga stori nyingine htaukufika huko ch ajabu ni kwamba baada ya kurud dar ndipo alinikaribisa lunch na kupropose sasa je wataka nifanyeje mbona kama mnanihukumu despite kuwa frank kwenu? ama mwadhani kwamba kila mtu ni kahaba tu? ingekuwa nataka kutembea naye nisinge kuja hapa kusema jamani ndo maana nasema namshukuru sana Mr Rocky kwa ushauri wake kwangu he was there for me hadi nikaweza kumwambia wazi kuwa si mtaki. ila sasa hilo ndo limekuwa tatizo huyu mwanaume ni wa kundi gani?
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaa! ngumu kumeza, ila kiukweli wadada wa mjini mnachefua, mnapenda kula vya bure, kuhongwa, yaani starehe kwa ujumla, ikitokea kidumu nacho kimejua, lawama zinaanza kama hivi ili uonekane mwema kwake, una tabia mbaya!

kwanza kama kweli ulimpenda huyo mpenzio maana si mumeo, tena ukute ushaolewa na hicho ni kidumu! kwanini hukumwambia the very first day, kuwa kuna mtu ananitongoza, anataka kunitoa lunch! wewe ni mnafiki, umeona kimenuka ndio unakuja kujisafisha hapa, JAMANI UKIMWI UNAUA!

heri mimi ninayetumbua jipu langu linapoiva kwa maumivu makali lakin likaisha kuliko wewe ambaye huwa unaogopa kulitumbua hivyo kila siku linafanya kazi ya kuhama maeneo mara leo kichwani mara leo tumboni nk. Binafsi yote mtakayosema nitakubali ila ujue kabisa ningetaka kutoka naye huyu nisinge eleza hapa ningefanya kimya kimya kwakua pia huwa haisemi.
 
bidada hivi kukaribishwa lunch ni kosa? Nafikiri ili kuonyesha your maturity unatakiwa uende you talk baada ya hapo ndipo akili inakuwa kumkichwa. Na mbona ndio stail ya mjini watu tunatolewa lunch na dinner lakni si kwa sababu ni wapenzi ni friends tu. Wewe hujawah kutoka kwenda sehem yeyote na watu ambao ni friends tu? This is normal to me ila unapoleta mtongozo ukipigwa chini nategemea nidham iwepo na si kwenda kuanza kumtukana mpenz wangu.
unauliza makofi polisi. Wewe una mpenzi kama ulivyotuambia! Kwanini usimtaarifu mpenzio kuwa umealikwa lunch?? Ulifanya on his back kwasababu ni dhambi, ni kosa! Nimekwambia toka mwanzo wewe ni mzinzi! Mtu anayejiheshimu kwa mpenziwe hatoki lunch na mtu baki, hebu jiheshimu we dada, usijisafishe, ona wamekudharau, mpaka wakatumiana emails! Wanakucheka! Hovyoooooooooooo!
 
heri mimi ninayetumbua jipu langu linapoiva kwa maumivu makali lakin likaisha kuliko wewe ambaye huwa unaogopa kulitumbua hivyo kila siku linafanya kazi ya kuhama maeneo mara leo kichwani mara leo tumboni nk. Binafsi yote mtakayosema nitakubali ila ujue kabisa ningetaka kutoka naye huyu nisinge eleza hapa ningefanya kimya kimya kwakua pia huwa haisemi.
hakunaga siri ya watu watatu! Kama ameshamu-email huyo mpenzio! Basi ishaliki, kwa kifupi jiheshimu, na acha uzinzi!
 
tena naona huyo anajiheshimu hajawahi kunitafuta! ila nadhani huyo mpenzio ndiye haswaaaaaaa aliyenitafuta! muosha, huoshwa dada!

yaani wasema huyu mpenzi wangu aliwah kukutafuta?..................? unamjua???? ......................duh! jf kuna wanga aisee
 
jamani hivi kukutana kwenye basi ni tatizo hawez kuhonga british car? Umeisoma hiyo post yangu ya kwanza? Huyu tulipofika arusha alileta gari yake ikanipeleka home na hutukuwa zaid ya kusalimiana na kupiga stori nyingine htaukufika huko ch ajabu ni kwamba baada ya kurud dar ndipo alinikaribisa lunch na kupropose sasa je wataka nifanyeje mbona kama mnanihukumu despite kuwa frank kwenu? Ama mwadhani kwamba kila mtu ni kahaba tu? Ingekuwa nataka kutembea naye nisinge kuja hapa kusema jamani ndo maana nasema namshukuru sana mr rocky kwa ushauri wake kwangu he was there for me hadi nikaweza kumwambia wazi kuwa si mtaki. Ila sasa hilo ndo limekuwa tatizo huyu mwanaume ni wa kundi gani?
huyo mwanaume ni wa kundi lako! Nways mi pia nakuombea msamaha kwake! Akusamehe, hutarudia tena kutolewa lunch, jirekebishe basi mpenzi, na angalia watu basi unaotoka nao hizo lunch, usione watu wapo kimya wanakuangalia tu, ila mengi wanayajua juu yako.
 
hakunaga siri ya watu watatu! Kama ameshamu-email huyo mpenzio! Basi ishaliki, kwa kifupi jiheshimu, na acha uzinzi!

na wala siyo siri manake ndio maana nilisema na ishu hapa siogopi mpenzi wangu kujua ila nataka kujua ni mwanaume wa aina gani huyu? halafu mbona waona mimi tu ndo mzizi? kwa haya tu? basi umebarikiwa mwenzangu kwa kuwa mwanamke usiyekutana na majaribu katika maisha yako.
 
yaani wasema huyu mpenzi wangu aliwah kukutafuta?..................? Unamjua???? ......................duh! Jf kuna wanga aisee
tena mwanga mimi nawanga ziwa tanganyika! Vijiti mjini kupokezana we taarifa huna! Ni mambo ya mjini tu usiogope!
 
huyo mwanaume ni wa kundi lako! Nways mi pia nakuombea msamaha kwake! Akusamehe, hutarudia tena kutolewa lunch, jirekebishe basi mpenzi, na angalia watu basi unaotoka nao hizo lunch, usione watu wapo kimya wanakuangalia tu, ila mengi wanayajua juu yako.

aisee wewe ni ajabu hebu njoo niambie mm ni nani? na naish wapi?
 
na wala siyo siri manake ndio maana nilisema na ishu hapa siogopi mpenzi wangu kujua ila nataka kujua ni mwanaume wa aina gani huyu? Halafu mbona waona mimi tu ndo mzizi? Kwa haya tu? Basi umebarikiwa mwenzangu kwa kuwa mwanamke usiyekutana na majaribu katika maisha yako.
yangu nafanyia mars! Dunia ina wanga bi dada! Hama sayari kama vipi??
 
Back
Top Bottom