Mwanaume jitambue na uchukue hatua

Mwanaume jitambue na uchukue hatua

Pesa yake hutakiwi kuipigia mahesabu mkuu, beba mabox,uza karanga,jibiidishe n.k ulee familia.kazi ya mke ni kukuzalia na kukufariji tu.
Sijakataa hilo mkuu lakini in the economic way of thinking hiyo inapunguza burden, hata kama atajihudumia mwenyewe tu na pesa zake, ujue hizo zilikuwa gharama zako kama asingekuwa na kazi.
 
Kweli mkuu,ndio maana wanasema kama hujajipanga usioe...wengine wanaoa tu kwa sababu wana umri mkubwa
 
Women are meant to be loved and spoiled, to be cherished.. kumhudumia Mwanamke Ni Kazi ya Mwanaume hiyo, Wanaume wengi hasa vijana hawapendi majukumu Ila it's a initial stage tu soon baada ya kuongeza umri unafanya what's right to keep that Cutegirl happy.(but she has to be worth it) sio unalea Uozo huku ukijipiga kifua Mara tano.. hapo unafeli kaka.
She has to be a keeper and faithful na uwe umethibitisha kabisa. Ukibeba majukumu hayo yanakupa Nguvu Sana ya Maamuzi ndani ya Nyumba na wewe unakua mfano wa Mungu kwa familia yaan Una uwezo wa kumake every wish come true.. it's a wonderful feeling to be worshipped
 
Nadhani watakuwa wamekuelewa mkuu
 
Aisee mkuu unatuhubiria sifa za mwanaume eti tujitambue halafu uzi ule wa kule unatuelezea jinsi unavyoalikwa na mdogo wako kwenda kutongoza wanawake huko Kanda ya Kaskazini? Kaazi kwelikweli!! Tutajitambua ukijitambua [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom