Mwanaume jitambue kuwa huna msaada

Mwanaume jitambue kuwa huna msaada

Hello JamiiForums,

Ni Jumamosi nyingine tena ya mwezi wa nane huku mwaka ukikimbia kwa kasi sana yaani 2025 ni kesho kutwa tu hapo, halafu mishe na mambo yetu pengine yanaenda taratibu mno kama kinyonga.lakini tutafika tu kwa uwezo wa aliye juu

Lengo la kuandika huu uzi, ni baada ya kukumbuka na kufikiria meeeengi jinsi Dunia inavyoenda na namna wanaume tukikosa msaada wa moja kwa moja, hatupewi kipaumbele, yaani kila eneo lazima tutumie nguvu kidogo ili kufanikisha malengo na mipango yetu.

1. Ajira kuipata kwa mbinde
Hiki kipande ni kigumu mno kuliko Hawa wenzetu yaani kama huna connection ya maana basi unaweza Kuta siku zinakatika tu na huna ulichoambulia.

2. Unyanyasaji usiosemwa
Wanaume wengi {tu}wananyanyaswa na wake zao,makazini,na sehemu kibao na mambo yetu hayasemwi popote,unaishia kudharauliwa tu kuwa punguza kulialia. Wanaume, wanaingiliwa kinyume na maumbile na hata kuwekewa chupa sehemu za haja kubwa kama fundisho au komesho kwa makosa wanayoyafanya kinyume na haki za binadamu

3. Kutosikilizwa (kutoaminiwa)
Mfano,miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nje ya Dar es Salaam, nikiwa kikazi huko nilishuhudia tukio la kusikitisha mno.

Iko hivi tulikuwa kwenye Mgahawa fulani usiokuwa na watu wengi sana hatukuzidi 12 labda kwakuwa chakula kiliuzwa ghali,basi alikuja Jamaa mmoja akakaa na kuchagua menu yake kupitia karatasi lililokuwa mbele yake, cha ajabu aliinuka mwanamke mmoja akiwa anatoka yaani amemaliza shughuli zake, akiwa anatembea kwa kasi akaitikisa meza ya jamaa na kudondosha PC (laptop)ya jamaa, kisha akaendelea na safari yake bila kuomba msamaha wala nini.

Jamaa aliinuka kisha akamshika yule mwanamke akimwambia huwezi kwenda popote ushaniharibia kifaa changu lazima haki itendeke,weeeee kumbe mwanamke alikuwa mkorofi akachukua chupa ya wine tena ya mtu mwingine tu,ikaishia kwenye paji la uso wa jamaa ,damu zikafurika pale, watu tukainuka kusaidia huku ile PC ikiwa umesuka kidogo kwe pembe ya kulia.

Dakika 5 nyingi polisi hawa hapa wakaondoka na meneja pamoja na yule mwanamke aliyeonesha ni mjeuri kutokana na maneno yake.cha ajabu kesho tukasikia mwanamke yule aliachiliwa na jamaa bado yupo hospital kwa matibabu.tukio hili liliniumiza Hadi Leo hii nikiamini ingekuwa yule demu kafanyiwa vile jamaa angeozea jela au kutoa pesa nyingi

4. Kucheleweshewa huduma
Ukienda hospital unaweza Kuta wanawake wanaambiwa waingie wahudumiwe ikiwa wamekukuta ,eti kisa wanajuana na madaktari. Mimi mwenyewe nilienda ofisi fulani ,nikashangaa nazungushwa tu,namuuliza mtoa huduma vipi mbona hivi nachelewa, Huku akijichekesha akadai nijikaze kiume ,ngoja awamalize wanawake,nikaghairi nakuondoka sehemu nyingine.

Siku nyingine nimeenda Dukani kununua vifaa vya ujenzi tena ni kijihardware kidogo tu nikaona nisiende kwenye maduka makubwa nitakuta foleni nikachelewa

Nikamkuta mwanamke umri la 28 _ 30 si mkubwa sana basi wauzaji wamemzunguka wote watatu wakimsifia kwa uamuzi wake wa kujenga huku akiwa anabargain Kila kitu apunguziwe bei mara hiki kirudishwe mara kilete tena huku wauzaji wakiwa hata hawachoshwi na mambo ya yule demu ,wateja wengine tukawa tumetoa macho kwa mshangao,!!wauzaji wametusahau.

5. Unyanyasaji kindoa
Wanaume wengi wananyanyaswa mno,vipo visa vingi sana, kupangiwa ratiba ya unyumba hadi siku mwanamke ajisikie. Kutokuagwa, yaani mwanamke anaweza kwenda sehemu akarudi muda atakao na ukihoji utaambiwa una mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati.tena wanawake wenye kipato kuliko mwanaume usiombe uwe nao.

Mwanamke kuanzisha miradi kibao bila kukushirikisha na ukihoji utaambiwa wewe ni mbaya hupendi maendeleo na mafanikio yake,mnaweza hata kuachana.

Kuongozana na wanaume kadhaa mara kwa mara na kuaminishwa ni watu wake wa karibu au wafanyakazi wenzie ukihoji utaambiwa una wivu wa kishamba na wa kizamani.na unapaswa kukaa kimya, kwa kigezo cha mwanaume ana kifua cha kuhifadhi mambo, yaani ufe na tai shingoni.

Sasa ole wako ufanye chochote chenye kiashiria cha uvunjifu wa amani utaambiwa haya

Kama alimchoka angemuacha

Kama mwanamke hakusikilizi wa nini

Kulikuwa na haja gani kumdhalilisha mwanamke

Ukiwasikiliza hawa wananzengo ni kama wanahoja Sasa wewe kurupuka,hicho kibanda na vijikampuni ukivyotengeneza kwa jasho na damu mtagawana na mtu aliyekupendea hivyo ulivyo navyo pengine ungekuwa lofa asingekutaka, au hujui mahakama zipo eeee?

Magazeti na vyombo vya habari vitaandika habari zako ,utaonekana hufai katika jamii gereza litakuita ili iwe fundisho kwa wanaume wenye tabia kama zako.

Na ukisema basi yeye si ananinyima unyumba ,ngoja nikajitafutie pisikali nje niwe napoza machungu basi omba asijue.

Akijua huyo binti ajiandae kuliwa mtungo na vijana wasiojitambua, wanaopewa kazi ya kufanya unyama wasifikirie hadi mwanaume mwenzao anachepuka kipo kitu nyuma yake, hawajui.

Wapo watakaoshauri ikiwezekana uingiliwe wewe kinyume na maumbile ili iwe funzo kwa wengine wasichepuke.

Duh kweli wanaume tumeumbwa matesa, tuseme kwa nani sasa, na tunaambiwa mwanaume tuwe na vifua.

Tumlilie nani sisi na tunaambiwa mwanaume hupaswi kulia hovyo.

Ukimfumania mkeo tunaambiwa tuandae ushahidi kisha yule mgoni akulipe Kisha wewe na mkeo muendelee na maisha yenu. Ukifanya kinyume na hapo gereza linakuita utatafuta pa kujificha.

Siwakubali team kataa ndoa,ila mbona kama wana hoja? huenda wanawasilisha kiutani siku wakikaza wataeleweka.

Wanaume wenzangu ni nani atakuwa msaada wetu?

Ukatili huu utaisha lini?

Tafakari,kaa kijanja.
Sisi WANAUME tumeumbiwa akili nyingi sana,lakini baadhi ya viumbe huziharibu ilimradi Tu uonekane jamaa fala Sana anapelekeshwa na mkewe hadi basi.
 
Pesa ndio kila kitu mkuu ,hakuna nyau atakudharau .
Mkuu , ikiwa mkeo atatoka na kwenda kumpa penzi kijana , bishoo asiyekuwa na kitu akimpendea Dredi zake na mikato yake,

Kumbuka wanawake mwalimu wao kipofu anaweza kumpenda mtu kisa kavaa nguo imechanika mapajani,na akamuelewa vyema kabisa,akampa penzi na pesa kijana akapewa,je ukigundua hili unafanyaje.

Mimi ni nazunguka sehemu nyingi Urban area ,and Rural area naona visa vingi kwa macho yangu sisimuliwi
 
Wanajamvi, najaribu kupitia Comments kadhaa naona watu wanachanganya kati ya udhalilishaji na umasikini

Mada inazungumzia udhalilishaji kwa mwanaume na niseme tu kuwa kama unadhani pesa ndiyo itakuletea Kila kitu unakosea

Pesa ndiyo Kila kitu watu wooooote unaokutana nao mabarabarani wanatafuta pesa, kutengeneza mipango ya kupata pesa,na wachache wanatumia pesa ambazo walizitafuta,na kama unadhani pesa ndiyo muongozo wa maisha yako umekwama,Kuna mahali kunatakiwa nguvu za kiume na si pesa,Kuna mahali kunahitaji lugha nzuri na Busara na si pesa.
Kuna mahali unatakiwa utembee kwa miguu ,nauli ba usafiri wako havina nafasi.

Kuna mahali unatakiwa uheshimiwe si kwakuwa una pesa Bali kwakuwa unastahili.

Wapo wachache ambao wamekuwa na kakilema fulani kupenyeza pesa kwenye Kila sehemu ili kurahisishiwa mambo yako ila mwisho wa siku huwa ni maumivu

Hospital,magereza, polisi,hata mabenki some times watu wanapenyeza rupia bahati mbaya nature inabaki vilevile.

Kwa mfano hakuna kitu kinaleta raha ya amani ya moyo kama kumtongoza mwanamke ambaye hajui kama una pesa na akakukubalia,kuliko yule ambaye unajua wazi anakuwa king'ang'anizi kwasababu ya pesa zako huo ni utumwa
 
Hello JamiiForums,

Ni Jumamosi nyingine tena ya mwezi wa nane huku mwaka ukikimbia kwa kasi sana yaani 2025 ni kesho kutwa tu hapo, halafu mishe na mambo yetu pengine yanaenda taratibu mno kama kinyonga.lakini tutafika tu kwa uwezo wa aliye juu

Lengo la kuandika huu uzi, ni baada ya kukumbuka na kufikiria meeeengi jinsi Dunia inavyoenda na namna wanaume tukikosa msaada wa moja kwa moja, hatupewi kipaumbele, yaani kila eneo lazima tutumie nguvu kidogo ili kufanikisha malengo na mipango yetu.

1. Ajira kuipata kwa mbinde
Hiki kipande ni kigumu mno kuliko Hawa wenzetu yaani kama huna connection ya maana basi unaweza Kuta siku zinakatika tu na huna ulichoambulia.

2. Unyanyasaji usiosemwa
Wanaume wengi {tu}wananyanyaswa na wake zao,makazini,na sehemu kibao na mambo yetu hayasemwi popote,unaishia kudharauliwa tu kuwa punguza kulialia. Wanaume, wanaingiliwa kinyume na maumbile na hata kuwekewa chupa sehemu za haja kubwa kama fundisho au komesho kwa makosa wanayoyafanya kinyume na haki za binadamu

3. Kutosikilizwa (kutoaminiwa)
Mfano,miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nje ya Dar es Salaam, nikiwa kikazi huko nilishuhudia tukio la kusikitisha mno.

Iko hivi tulikuwa kwenye Mgahawa fulani usiokuwa na watu wengi sana hatukuzidi 12 labda kwakuwa chakula kiliuzwa ghali,basi alikuja Jamaa mmoja akakaa na kuchagua menu yake kupitia karatasi lililokuwa mbele yake, cha ajabu aliinuka mwanamke mmoja akiwa anatoka yaani amemaliza shughuli zake, akiwa anatembea kwa kasi akaitikisa meza ya jamaa na kudondosha PC (laptop)ya jamaa, kisha akaendelea na safari yake bila kuomba msamaha wala nini.

Jamaa aliinuka kisha akamshika yule mwanamke akimwambia huwezi kwenda popote ushaniharibia kifaa changu lazima haki itendeke,weeeee kumbe mwanamke alikuwa mkorofi akachukua chupa ya wine tena ya mtu mwingine tu,ikaishia kwenye paji la uso wa jamaa ,damu zikafurika pale, watu tukainuka kusaidia huku ile PC ikiwa umesuka kidogo kwe pembe ya kulia.

Dakika 5 nyingi polisi hawa hapa wakaondoka na meneja pamoja na yule mwanamke aliyeonesha ni mjeuri kutokana na maneno yake.cha ajabu kesho tukasikia mwanamke yule aliachiliwa na jamaa bado yupo hospital kwa matibabu.tukio hili liliniumiza Hadi Leo hii nikiamini ingekuwa yule demu kafanyiwa vile jamaa angeozea jela au kutoa pesa nyingi

4. Kucheleweshewa huduma
Ukienda hospital unaweza Kuta wanawake wanaambiwa waingie wahudumiwe ikiwa wamekukuta ,eti kisa wanajuana na madaktari. Mimi mwenyewe nilienda ofisi fulani ,nikashangaa nazungushwa tu,namuuliza mtoa huduma vipi mbona hivi nachelewa, Huku akijichekesha akadai nijikaze kiume ,ngoja awamalize wanawake,nikaghairi nakuondoka sehemu nyingine.

Siku nyingine nimeenda Dukani kununua vifaa vya ujenzi tena ni kijihardware kidogo tu nikaona nisiende kwenye maduka makubwa nitakuta foleni nikachelewa

Nikamkuta mwanamke umri la 28 _ 30 si mkubwa sana basi wauzaji wamemzunguka wote watatu wakimsifia kwa uamuzi wake wa kujenga huku akiwa anabargain Kila kitu apunguziwe bei mara hiki kirudishwe mara kilete tena huku wauzaji wakiwa hata hawachoshwi na mambo ya yule demu ,wateja wengine tukawa tumetoa macho kwa mshangao,!!wauzaji wametusahau.

5. Unyanyasaji kindoa
Wanaume wengi wananyanyaswa mno,vipo visa vingi sana, kupangiwa ratiba ya unyumba hadi siku mwanamke ajisikie. Kutokuagwa, yaani mwanamke anaweza kwenda sehemu akarudi muda atakao na ukihoji utaambiwa una mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati.tena wanawake wenye kipato kuliko mwanaume usiombe uwe nao.

Mwanamke kuanzisha miradi kibao bila kukushirikisha na ukihoji utaambiwa wewe ni mbaya hupendi maendeleo na mafanikio yake,mnaweza hata kuachana.

Kuongozana na wanaume kadhaa mara kwa mara na kuaminishwa ni watu wake wa karibu au wafanyakazi wenzie ukihoji utaambiwa una wivu wa kishamba na wa kizamani.na unapaswa kukaa kimya, kwa kigezo cha mwanaume ana kifua cha kuhifadhi mambo, yaani ufe na tai shingoni.

Sasa ole wako ufanye chochote chenye kiashiria cha uvunjifu wa amani utaambiwa haya

Kama alimchoka angemuacha

Kama mwanamke hakusikilizi wa nini

Kulikuwa na haja gani kumdhalilisha mwanamke

Ukiwasikiliza hawa wananzengo ni kama wanahoja Sasa wewe kurupuka,hicho kibanda na vijikampuni ukivyotengeneza kwa jasho na damu mtagawana na mtu aliyekupendea hivyo ulivyo navyo pengine ungekuwa lofa asingekutaka, au hujui mahakama zipo eeee?

Magazeti na vyombo vya habari vitaandika habari zako ,utaonekana hufai katika jamii gereza litakuita ili iwe fundisho kwa wanaume wenye tabia kama zako.

Na ukisema basi yeye si ananinyima unyumba ,ngoja nikajitafutie pisikali nje niwe napoza machungu basi omba asijue.

Akijua huyo binti ajiandae kuliwa mtungo na vijana wasiojitambua, wanaopewa kazi ya kufanya unyama wasifikirie hadi mwanaume mwenzao anachepuka kipo kitu nyuma yake, hawajui.

Wapo watakaoshauri ikiwezekana uingiliwe wewe kinyume na maumbile ili iwe funzo kwa wengine wasichepuke.

Duh kweli wanaume tumeumbwa matesa, tuseme kwa nani sasa, na tunaambiwa mwanaume tuwe na vifua.

Tumlilie nani sisi na tunaambiwa mwanaume hupaswi kulia hovyo.

Ukimfumania mkeo tunaambiwa tuandae ushahidi kisha yule mgoni akulipe Kisha wewe na mkeo muendelee na maisha yenu. Ukifanya kinyume na hapo gereza linakuita utatafuta pa kujificha.

Siwakubali team kataa ndoa,ila mbona kama wana hoja? huenda wanawasilisha kiutani siku wakikaza wataeleweka.

Wanaume wenzangu ni nani atakuwa msaada wetu?

Ukatili huu utaisha lini?

Tafakari,kaa kijanja.
Kweli bro
 
F

Feminism ni mfumo wa kishetani uliobuniwa ili kuharibu jamii ,jamii inaharibika kuanzia ngazi ya familia , feminism imetengeneza uvunjifu mkubwa wa ndoa na kuzalisha single mothers na malezi mabovu katika jamii ,
Matoto yanakuwa mashoga na tabia nyingine ovyo ,hii ni kutokana na kuyumba kwa malezi na kudunishwa kwa commanding structure na role ya mwanaume ,
Familia ikishakosa commanding structure ni failure ,ninkama jeshini tu au kwenye organization yoyote ,commanding structure ni muhimu .
Leo hii hata wanaume wengi hatuna hamu na ndoa kwa upuuzi huu , kiufupi sluts ni wengi kuliko wanawake halisi ambao unaweza kusema umeoa na kuweka ndani kama mke kabisa .
 
Marekani kuna msemo wanaume wanasema
"There is a clear war against men , you marry a woman who doesn't respect you ,care or loves you ,you bring to earth children who are brainwashed and indoctrinated by your so called wife , schools ,churches , peers and society to hate you and to disrespect you despite all the sacrifices you have done for them then you are whipped with lawsuits and breakups leaving you financially and mentally broke and at the end you die like a stray dog (lonely , desperate and demoralised ) and no body cares "

Hii Ndio misalaba tunayobebeshwa wanaume
Wanaume wengi wanaoa siku hizi cycle ni hii hii , yaani wanazunguka humo humo na wanaishia hapo
 
Yanini sasa kusumbukia ndoa kama hamna faida ila majuto ?
Si bora ujenge maisha yako na kuenjoy hobby zako siku za uhai wako ? Kuliko kujisumbua na kitu ambacho hakina faida ?
 
Back
Top Bottom