Mwanaume jitambue kuwa huna msaada

Mwanaume jitambue kuwa huna msaada

Mbaya wa mwanaume ni mwanaume mwenyewe, lakini pia kwaajili ya ubinafsi ameongezeka adui mwingine wa mwanaume nae ni mwanamke.

Dunia haiko upande wa mwanaume, haijawahi kuwa na haitakaa iwe!

Kwa jinsi hii mwanaume uchukue tahadhari sana na kila tendo na kila neno.
 
Kucheleweshewa hudumaaa ..... Waweza ambiwa subiri adi kesho ama wiki ijayoo
 
Mkuu dunia haiko fair na haitakuja kuwa fair. Tuache kulia lia tuendelee kupambana tu ila usikubali unyonge
 
Tusake pesa tu , utasikilizwa penda wasipende.
 
Dunia haipo fair mkuu, tupambane tu hadi tupate tunachotaka.
 
Kama uchagani kuna udhalilishaji mkubwa sana hasa ukikosa pesa ,unaonekana mleta fujo.
Tena nyie watu wabaya sana, mnathamini sana pesa kuliko utu na nafasi ya mtu. Nawahurumia first born wa kichaga ambao hawana pesa, wanadhalilishwa sana kwenye vikao yenu vya mwaka.
 
Back
Top Bottom