Mwanaume huyu amenichosha

Mwanaume huyu amenichosha

Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
Wanasema dawa ya bishoo unakuwa bishoo zaidi yake so we fanya mpango utembee na babake.
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
unaamini samaki mmoja akioza wote wameoza?!
 
Yaani uwe na mahusiano na mimi halafu dada yako asijue kuwa mimi ndo shem wake , ni haki akiwazidisha manake hakuna namna.
 
Ulitakiwa umtambulishe Dada yako ajue so kama wataamua Ku Hainaga Ushemeji iwe kivyao by the Way We All Cheat
 
Sometimes sisi wanaume ni watu wabaya sana, ni wabinafsi sana.

Kuna mshikaji wangu ametembea karibu na ukoo mzima, sijui kwa nini, alianza na binti mdogo, akapitia dada zake na huyo binti wakubwa wawili.

Kisha akashika mama yao mdogo na hao mabinti mwisho akamalizia na shangazi yao.

Wanawake lazima muwe makini, kuwazoesha zoesha ndugu zako wa kike kwa mumeo ni kuwasogeza kwenye mdomo wa mamba.
Sijui shida ni nini au ni mapepo, kuna jamaa amepiga mama na watoto wake watatu, na maisha yanaendelea
 
Nampenda sana huyu mpenzi wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu. Nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpenzi wangu.

Nimechanganyikiwa, naumia mno na wanaume nimewachukia sana.
Yakhe! musigombee fito ati....nyie ndugu hampaswi kugombania fito mwajenga nyumba moja nyie...hapo itisheni kikao cha kifamilia kubalianeni tena na familia ijue nani ataijenga hiyo nyumba .......usichanganyikiwe FANYA KAZI WEWE MDADA HAPA KAZI TU ila wewe unataka kuleta HAPA MAPENZI TU, unafikiri ninendelea basi me ndo nishamaliza hivyo yakhe!
 
Dah! hapo unatakiwa kutuliza akili sababu changamoto iko sehemu mbili. kwanza kwenye familia wewe na dada pili kwenye maisha yako binafsi wewe na mpenzi wako. kabla hujaenda mbele anza kwako wewe na penzi wako kujua sababu hasa ya yeye kutembea na dada yako ilihali anajua fika ni dada yako. baada ya hapo utakuwa na njia ya kwenda mbele sababu tatizo kubwa ni mpenzi wako. baada ya hapo ndipo uende kwa ndugu yako na kuongea naye ambapo utaweza kupata majibu hasi au chanya kutokana na hulka ya dada yako ilivyo. sababu kama yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kwa mpenzi wako itakuwa hasara kwako au la unaweza kusonga mbele na maisha mengine maana mpenzi wako amejionyesha siyo mwaminifu kwako
 
Hasara Za kufanya mambo kwa cri yawezekana jamaa katumia huo usir Kat yenu kama fimbo yakukuchapia
 
panga appointment nenda na dada yako kisha mtambulishane.
 
Achana nae njoo kwangu mwache aendelee nae Dada c ajui cku c nyingi akijua upo na Mimi aisome namba
 
Wote mnafanya zinaa, na uzuri zaidi unashare na ndugu... Kizuri kula nduguyo! Acha roho mbaya bidada...
 
Back
Top Bottom