Mwanaume huyu amenichosha

Mwanaume huyu amenichosha

Jaman badala yakumshauri mnamzihaki..au hamjui maumivu yakutendwa
 
Pole mamy, ulikosea kutomtambulisha kwenye familia jamani. We achana nae bwana jipe muda utampata wa moyo wako mamy.
 
Pole mamy, ulikosea kutomtambulisha kwenye familia jamani. We achana nae bwana jipe muda utampata wa moyo wako mamy.
Na hilo ndo kosa lake..!!! Mapenz ya kufichaficha mwisho wa siku mtu anachepuka na mama mkwe..!!! Muwe mnaweka wazi
 
Huu ugonjwa wa dada zetu kuwachukia wanaume naona umeanza kukua kwa kasi sana
 
Haya mapenzi basi nimeyavulia shati kupenda ni ajira na mim sina vyeti
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
Kwa maisha ya mambo leo ni kuwekana sawa kupeana ,misimamo mwanaume aamue moja kama bado unampenda lakin.
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
Nso ujifunze kutambulisha bwna wako kwa ndugu zako wa karibu achilia mbali wazazi kwanza
 
Yes ....inakera

Enhe weewe unamshaurije mpendwa
Namshauri
1. Apige moyo konde, maana ndo Dunia iliyotawaliwa na maumivu ya kila aina
2.Amweleze Dada yake ikibidi aanze kwa kumdadisi ili ajue walianza lini mapenz na jamaa yake, hapa itamsaidia kujua nani aliyeingia kwa Mwenzie,
3. Kama wana akili (Dada na Mdogo) watatoa msimamo wao ambao naamini watakua against Jamaa
4. Waandae kukutana na jamaa wakiwa wote wawili, hapa ingekua ni kumzodoa tu na kum dump for good
N.B ikiwa dada ana kichwa cha panzi Mimi nakushaur mtoa Mada mweleze Dada yako na pia mueleze na jamaa then piga chini jamaa bila kujali kama dada ataafiki kumuacha au lah! Then anza maisha yako mapya na kuchukia jinsia za watu kisa MTU mmoja ni upuuz, Hii ni Mock Exam yako bado Necta yaja kwenye ndoa
 
Sometimes sisi wanaume ni watu wabaya sana, ni wabinafsi sana.

Kuna mshikaji wangu ametembea karibu na ukoo mzima, sijui kwa nini, alianza na binti mdogo, akapitia dada zake na huyo binti wakubwa wawili.

Kisha akashika mama yao mdogo na hao mabinti mwisho akamalizia na shangazi yao.

Wanawake lazima muwe makini, kuwazoesha zoesha ndugu zako wa kike kwa mumeo ni kuwasogeza kwenye mdomo wa mamba.

why huo ukoo unatembea na wanaume ovyo ovyo?
waweke wazi mahusiano yao..
 
Nani alitangulia kati yako na dada yako kuwa mapenzini na huyu mwanaume? Labda wewe ndio umekuwa namba 2? Ila kuna methali inasema "kizuri kula na...........

Malizia basi. Pole sana
Wa Wazungu wanasema "sharing is caring "
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana

hahahaa mashemeji nao tunawala tuu.
 
Kuna watu wanajibu kinafiki humu sababu haijawakuta. Ungekuwa wewe au ndg yako kafanyiwa hvo ndo ungesikilizia.
Yameshakusibu wewe,hebu mpe mbinu ya kukabiliana na huo wivu
 
Ujinga ni kusema unawachukia wanaume ilihali alie kufanyia hicho kitu ni mpenzi wako..hata kukushauri nimeghairi mana nipo kwenye kundi la wanaume unalolichukia
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
Pole sana

Lajun ume makuza kwa haxba kidogo, sidhani kama wanaume woote wametembea na sista wako ni huyo mmoja tuu
 
Back
Top Bottom