Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mi namwambia "ulinipa mwenyewe mwaka Jana".
Mlikutana wapi 😂😂Mi namwambia "ulinipa mwenyewe mwaka Jana".
SureeSwali la watoto hilo
Hii kaliSwali la kawaida sana kwa sisi wazoefu 😁
We mwambie tu unaandikisha namba za nida kwahiyo ulipata namba yake huko
Kanisani....., akivaa ushungi namwambia tulikutana msikitiniMlikutana wapi 😂😂
Subirini jamani kupoe ndo muanze kuja na hizi mada. Tumepoteza ndugu zetu na tunaendelea kuzika nyie mnakuja na mada za miti. Kuweni na staha!Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje
Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii
Wewe una jibuje au ndio una mtaja muhusika alie kupa namba
Dah vijana mna code kiasi kwamba hachomoiSikumbuki tulikutana wapi maana yake mimi ni mtu wa watu huwa nasafiri mara kwa mara ila siku tukionana nina uhakika sura yangu utaikumbuka tu
Ahaha aya ana kuja kusema mbona mimi siendagi msikitinKanisani....., akivaa ushungi namwambia tulikutana msikitini
Sawa sasa miti ime kukosea nn jokes tu mkuuSubirini jamani kupoe ndo muanze kuja na hizi mada. Tumepoteza ndugu zetu na tunaendelea kuzika nyie mnakuja na mada za miti. Kuweni na staha!
Najifanya Niko serious kanakwamba nataka kumnasa vibao.Ahaha aya ana kuja kusema mbona mimi siendagi msikitin
Ahahha we kibokoNajifanya Niko serious kanakwamba nataka kumnasa vibao.
Akiona hivyo qtaacha maswali ya kipuuzi na tutazafamuana tu 😂
Ila mwachi kwani una umri gani? 🙆♂️Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje
Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii
Wewe una jibuje au ndio una mtaja muhusika alie kupa namba
Mkuu yani mara hii tu umesahau tulikutana wodi ya machizi mirembe.Sikumbuki tulikutana wapi maana yake mimi ni mtu wa watu huwa nasafiri mara kwa mara ila siku tukionana nina uhakika sura yangu utaikumbuka tu