Mwanaume hii inakushushia hadhi....

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,184
2,688
Hello,. Mwanaume umevaa mkanda nje umechomekea shirt nzuri suruali nzuri mkanda mweusi kiatu brown.....big no,mkanda mweusi kiatu cheusi....mkanda brown kiatu brown......

-Ukajivalia suruali kinjiwa huvai socks chini sawa ila tizama sana personality Yako hiyo style siyo ya Kila mmoja....

- Unavaa suruali na kuonyesha boxer ? Huo ni ushamba uliotukuka ni aibu aibu aibu...Sasa unaonyesha Ili iweje tujue umehifadhi mbupu kwenye boxer?

Mbaya zaidi unakuta boxer yenyewe chafu.....nani havai boxer unayemwonyesha? ...

-Let's say una Buti zako Kali tu muundo wa American Buti pengine za brand ya Clarks. Nk.nk ila muundo wa Buti....ati Ili zionekane unachomekea suruali ndani ya Buti watu waone kiatu kilipoanzia mpaka kilipoishia...big no no no ....huo ni ushamba

-Unahonga pisi Kali na mama mzazi Hana sukari kijijini,,huo nao ni ushamba japo nimechomekea....

-Fesheni ya kuvaaa vibukta wengine haziwapendezi jiangalie
 
Huna akili wewe ishi maisha yako.....
Nakula American boot(Timberland) nachomeka trou ndani ya buti halafu mtaani na sipangiwi na mtu na kila kitu kinaenda sawa hizo personal interest mpelekee mkweo gezaulole huko
 
Hapo kwenye mkanda na kiatu sidhani kama upo sahihi mkuu. Kuna mavazi ukivaa inapendeza kumechisha kiatu na mkanda ila sio kila mavazi utamechisha mkanda na kiatu.

Mfano umevaa jeans kisha ukachomekea na shati nyeusi, ukapiga na koti ya dark blue, hapo nitachapa mkanda wa brown, na chini sneakers nyeusi nimemaliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom