Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Mama wa Kwanza we acha tuuuu ni muda kama wiki tatu hivi
na wewe unaendeleaga 2 kumbembeleza na ku2ma watoto?
Mama wa Kwanza we acha tuuuu ni muda kama wiki tatu hivi
Hahahahah nilijua tu unakoelekea ! Hapa naomba nimwchie mwenye ngoma akujibu maana nilivyoivalia njuga utadhani yangu kumbe yangu ilishasahaulika hata mirindimo yake hahahahSamahani kwa kuchakachua sredi.........
Naomba kukuuliza DA na MJ1
Hiyo mood mnayozungumzia hapa iko kwenye kikojoleo cha mme wake Dena au kwenye wallet?
Dah nimeshajaribu hayo mambo lakini wapi tena nikutumia watoto ndo balaa anawaambia ndo mama yenu kawatuma sio..........
Sasa hommie..........ODM hua unaanzia mbali sana..lol
ODM ndo nnapompendea hua anakupeka kwenye angle aitakayo!Kumbe na wewe umeonaaa eehhh
dena kila jambo lina chanzo na kama tatizo lipo basi linaweza kutatulika tu .. je mkate wa bwana si anakupatia (haki ya msingi) au nayo kasitisha?? kama anawaingiza watoto basi suala hilo bado liko kwenye mikono yako katika maamuzi ..
Hahahahah nilijua tu unakoelekea ! Hapa naomba nimwchie mwenye ngoma akujibu maana nilivyoivalia njuga utadhani yangu kumbe yangu ilishasahaulika hata mirindimo yake hahahah
Aksante babu kwa kunizima kisebu sebu changu.
We Dena haya mjibu Babu mkubwa hapa.
Dear umesahau kuwa simba akizidiwa anakula majani my dear????
Dah nashindwa nikuelewesheje kwa hapa................
Dena ukuye ujibu hapa........Hahahahah nilijua tu unakoelekea ! Hapa naomba nimwchie mwenye ngoma akujibu maana nilivyoivalia njuga utadhani yangu kumbe yangu ilishasahaulika hata mirindimo yake hahahah
Aksante babu kwa kunizima kisebu sebu changu.
We Dena haya mjibu Babu mkubwa hapa.
Dear umesahau kuwa simba akizidiwa anakula majani my dear????
Mama wa Kwanza we acha tuuuu ni muda kama wiki tatu hivi
Hahahaha hommie unaharibu banaODM ndo nnapompendea hua anakupeka kwenye angle aitakayo!
ODM ngoja tusichakachue siridi ya mpendwa Dena, ila gsti ni ile yenye magodoro ya Comfy!Hahahaha hommie unaharibu bana
Kwa mfano unataka kunambia nlikuwa nataka kumpeleka Dena kwenye angle ipi na kwenye gesti ipi?
Hahahaha hommie unaharibu bana
Kwa mfano unataka kunambia nlikuwa nataka kumpeleka Dena kwenye angle ipi na kwenye gesti ipi?
Edson acha tu mambo haya nitakwambia tukionana
dena nadhani kuna jambo ambalo linaweza kuwa linamsumbua au kumsuta hivyo anashindwa kujiamini na kuongea na wewe.. mara wanaume kuna maaamuzi wanaweza kuyafanya nje ya mipango yake na mkewe na akajikuta amepata hasara au ameharibu sasa anakosa ujasiri wa kukuelewesha hivyo anakuwa na hasira na tabia za ajabu ajabu kama ukaidi na kiburi.
cha kufanya, kuna mambo au vitu ambavyo huwa vinamfanya awe na furaha jaribu kumfanyia kama chakula au movie au vipindi kwenye TV.. naamini kwa muda ulioishi nae utakuwa unamwelewa ni wakati gani ana furaha , huzuni, mawazo, nk .. hivyo nenda nae taratibu maana anaweza akakugeuzia wewe kibao kama ndo tatizo
dena jambo jingine inawezekana kuna jambo ambalo unamkera au linafanyika hapo nyumbani na anashindwa aanzeje kulisema labda linaweza kukukera au likaleta kutokuelewana zaidi hivyo anajenga chuki juu yako.. cha kufanya kama nawe unaogopa kukaa nae na kuongea tumia watoto au unaweza kupanga out moja kwa ajili ya mazungumzo nje ya nyumbani .. but usimweleze yeye anakukosea nini ila jaribu kumwelezea malengo na maisha ya mbele au kuwa na plan fulani ambayo ataona ni ya maendeleo kwake
Ajabu lolna wewe unaendeleaga 2 kumbembeleza na ku2ma watoto?