Hi,
Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali ulimtamani basi kwa nini usimlee mwanao?Unaacha mwanao analelewa na wasamaria wema halafu baada ya kupata mafanikio na wewe unajitokeza kama mzazi!Shame on you!
Siku zote wale wanaowakana watoto wao huwa hawafanikiwi kimaisha fanya utafiti utakubaliana nami.Hii inatokana na laana inayotokana na manung'uniko ya kutoka kwa mtoto.
Wanaume hebu tubadilikeni kama ulifanya kosa rudi kaombe msamaha na mlee mwanao na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa, huwa nikiona watoto wa mitaani moyo unaniuma sana kwani kutelekeza mimba nako huchangia tatizo hili.