Mwanaume gani unampa mimba msichana halafu unamkana na mtoto wako!

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Hi,

Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali ulimtamani basi kwa nini usimlee mwanao?Unaacha mwanao analelewa na wasamaria wema halafu baada ya kupata mafanikio na wewe unajitokeza kama mzazi!Shame on you!

Siku zote wale wanaowakana watoto wao huwa hawafanikiwi kimaisha fanya utafiti utakubaliana nami.Hii inatokana na laana inayotokana na manung'uniko ya kutoka kwa mtoto.

Wanaume hebu tubadilikeni kama ulifanya kosa rudi kaombe msamaha na mlee mwanao na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa, huwa nikiona watoto wa mitaani moyo unaniuma sana kwani kutelekeza mimba nako huchangia tatizo hili.
 
Muyool, hujajua unachokiongea! eti na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa nani kakwambia watu wanaoa kabla ya kuonja? Wadada hawalazimishwi kugawa bali ni uhalisia wa maisha tunayoishi ndo yanapelekea kugawa hizo K. Alafu suala la mwanamme kukataa mtoto inategemeana kuna wadada pia mna tabia za kusingizia wanaume watoto ambao sio wao hilo hujalitazama kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kama una wanaume zaidi ya mmoja na wote unawapa hata wewe mwenyewe unaweza kuta unashindwa kumjua baba wa mtoto hadi ukishajifungua hilo nalo linaweza kumfanya mwanaume akapata kigugumizi juu ya uhalali wa ubin wa huyo mtoto.

Ni hayo tuu.
 
Madada wa siku hizi nao wamezidi, wanaguswa sana bana kama kitasa cha Taxi ukiwa hata na buku tatu unafungua tu matokeo yake ndo hayo, wengine wanajibebesha mimba kama tego la kulazimisha ndoa, sio kila anaetaka nyuchi anataka mtoto, muwe mnapogawa Nyuchi mnapitia vizuri Terms ili vigezo na masharti kuzingatiwa, kama mitoto tunayo kibao kama kugeuza mbuga tungesema Serengeti, tunataka K ya Burudani sio mashine ya kuangua au kutotoa watoto!
 
Hi,

Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali ulimtamani basi kwa nini usimlee mwanao?Unaacha mwanao analelewa na wasamaria wema halafu baada ya kupata mafanikio na wewe unajitokeza kama mzazi!Shame on you!

Siku zote wale wanaowakana watoto wao huwa hawafanikiwi kimaisha fanya utafiti utakubaliana nami.Hii inatokana na laana inayotokana na manung'uniko ya kutoka kwa mtoto.

Wanaume hebu tubadilikeni kama ulifanya kosa rudi kaombe msamaha na mlee mwanao na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa, huwa nikiona watoto wa mitaani moyo unaniuma sana kwani kutelekeza mimba nako huchangia tatizo hili.

Kwenye bold ndio la msingi, hayo mengine yote ni manung'uniko ya dada yako kupewa mimba na kukimbiwa. Jambo hili ni pana huwezi kulirusha kwa mwanaume just like that. Kuna virukanjia vinagawa mwili kama mbwa wa mtaani, halafu mwisho wa siku vinamchagua mgawiwaji mmoja na kumwambia 'mimba yako', akili kama zako zinaishia kulea watoto wa wenzako.

Tulizeni maumbile yenu ndani ya nguo, zinaa kama wanyama pori ndio inaleta yote hayo
 
Sio kwamba wanawakana watoto ila wanakwepa majukumu ya kulea kotokana na ugumu wa maisha, ndio maana wakikua huyu baba mwenyewe anamtafuta mwanae.
 
Muyool, hujajua unachokiongea! eti na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa nani kakwambia watu wanaoa kabla ya kuonja? Wadada hawalazimishwi kugawa bali ni uhalisia wa maisha tunayoishi ndo yanapelekea kugawa hizo K. Alafu suala la mwanamme kukataa mtoto inategemeana kuna wadada pia mna tabia za kusingizia wanaume watoto ambao sio wao hilo hujalitazama kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kama una wanaume zaidi ya mmoja na wote unawapa hata wewe mwenyewe unaweza kuta unashindwa kumjua baba wa mtoto hadi ukishajifungua hilo nalo linaweza kumfanya mwanaume akapata kigugumizi juu ya uhalali wa ubin wa huyo mtoto.

Ni hayo tuu.

Kuolewa kabla ya kugawa K inawezekana na ndivyo maandiko matakatifu yanavyosema maana naona unahalalisha dhambi kimtindo.Kuhusu kubambikiwa pia lipo lakini kama wewe ni mwanaume halisi kwanini usiende kupima DNA.
 
Binafsi huwa naamini, mimba ni matokeo ya matakwa ya mwanamke...sasa kama mwanaume hajaamuwa kuwa na mtoto halafu wewe mwanamke unategesha siku zako, unategemea mwanaume atakuwa radhi kulea mimba kweli
 
Sio kwamba wanawakana watoto ila wanakwepa majukumu ya kulea kotokana na ugumu wa maisha, ndio maana wakikua huyu baba mwenyewe anamtafuta mwanae.

Ukimkubali mwanao inaweza ikawa ndiyo mwanzo wa mafanikio maana mgawa riziki ni Mungu na hakuna aliyezaliwa akaja na mali.
 
Utajisikiaje unaolewa na mtu alafu mnafika ndani unakutana na ambayo hukutegemea kutest ni vizuri bana, tatizo lenu kwenye kutest eti ndo mnategeshea mkishani kuwa ndoa itatangazwa fasta.
 
kutokutoa k kabla ya ndoa hiyo
ni ngumu sana kwa dunia ya leo,ila mwanaume
inapotokea umempachika mimba binti,usikimbie majukumu
lea mimba na mwanao si lazima umuoe mama wa mtt!!
 
Nitonye nani analengesha.nyie hata mkiambiwa siku za hatari munang'ang'ania tu.kamsemo kenu eti kidog tu alafu unazamisha kila kitu humu ndani.hovyoo kabisa
 
Sio kwamba wanawakana watoto ila wanakwepa majukumu ya kulea kotokana na ugumu wa maisha, ndio maana wakikua huyu baba mwenyewe anamtafuta mwanae.
Mbona mi niliwakana lakini sasa nipo magogoni wananitafuta wenyewe.
 
Back
Top Bottom