Mtoa mada atoe picha ya babu mzaa babu yake tuone alivaa je? Muwe mnaenda Makumbusho muone tulikotokea siyo kusema heshima oho. Mimi ni mtu mzima siwezi vaa kimini ila siwezi mpangia mtu ambaye bibi zake walivaa magome ya miti tena kufunika mbele na nyumba mpaka walipokuja wakoloni kuwafundisha kuvaa nguo ndefu.wazee wetu walikuwa wanajifunga majan tu kuzba pumb
UsinipangieYani mwanaume unatembea mtaani na kibka kabisa.
Bukta zenyewe fupi hadi mapaja yanaonekana.
Sidhani utakuwa mwanaume kamili kwa jamii zetu alafu uvae ki bukta kiko juu ya magoti.
Kaubinua teh teh teh teh ni mtazamo wakuu msijenge chukiView attachment 812073
Unamaanisha kama hii? Mbona wanapendeza tu kwani mkuu wewe unaweza kutamani paja la mwanaume mwenzako [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
exactly umenena mkuuMtoa mada atoe picha ya babu mzaa babu yake tuone alivaa je? Muwe mnaenda Makumbusho muone tulikotokea siyo kusema heshima oho. Mimi ni mtu mzima siwezi vaa kimini ila siwezi mpangia mtu ambaye bibi zake walivaa magome ya miti tena kufunika mbele na nyumba mpaka walipokuja wakoloni kuwafundisha kuvaa nguo ndefu.
Wazungu walipoona waafrika kuvaa fupi wanapendeza, nao wakaanza. Mnasema tunawaiga? Ingia historia ya ulaya kuanzia karne ya kumi hadi ya 19 uone mavazi wa wanawake na wanaume wa huko walivyovaa. Mfano angalia picha za uhuru wa Tanganyika. Nani walivaa nguo fupi kama siyo waafrika lakini wazungu wote ni ndefu.
Huyu vp? Mbona kaanika upaja!? Au ni chakura?
Walikwambia kua hua wanavaa vibukta ili wakuvutie wewe?Mwanaume anayevaa kibukta cha kubana huwa hawanivutii kabisa
HUU NI UANAUKEView attachment 812073
Unamaanisha kama hii? Mbona wanapendeza tu kwani mkuu wewe unaweza kutamani paja la mwanaume mwenzako [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Katika comment zote umeona comment yangu tuWalikwambia kua hua wanavaa vibukta ili wakuvutie wewe?
haya tumekujaWavaa vibukta mnaitwa huku
Baby shem nawewe unavaa kibukta?weka picha basi niamini[emoji12][emoji12]haya tumekuja