Mwanaume chelewa kurudi nyumbani

Mwanaume chelewa kurudi nyumbani

Siku ya mpira namruhusu na matokeo nayataka! Nashukuru Mungu kilevi hatumii ndo maana namruhusu kujichanganya Na sitaki kudanganywa (coz nafuatilia )

Akichelewa poa but with concrete reason,

In short 24/7 simchoki mme wangu!
Achelewe!!!? wapi? ? ? Kwanza hizo simu zitakavyopigwa Atarud mwenyewe!

Ratiba yangu ya kazin anaijua yake naijua! Tunachart, mipango naijua, unachelewea wapi kwa mfano?

Nitafutien huyo dada nina shida naye
Una mikwara ha haha.
 
Haiwezekani mwanamke anipangie mda wa kurudi nyumbani, mimi ndiye mwamuzi.
 
Hahahahaaa! Sio mikwara!
Mwenyewe anaipenda huyo!
Huwezi amini siku nikiamua nimuache yeye ndo wa kwanza utasikia simu lundo za uko wapi na unafanya nini?

Utasikia mbona leo kimya sana!
Ndo utajua kumbe mikwala yangu anaipenda eeeeh!
Wewe mchaga?
 
aisee tubadilishane na huyu wangu..hivi wanawake tunataka nini?mbona shidaa....
 
Sijakubaliana vitu viwili

1) Mke kumpangia jamaa mda wa kurudi nyumbani na jamaa akafuata
2) Ila pia kuwahi nyumbani sio tabia ya wanaume wa kibantu... just thinking lazima upate mda wa kuongea na ma men wenzako baada ya kazi maana humo ndo mawazo ya maendeleo na ushauri vinapotokea sio kila siku wewe saa 12 jioni upo nyumbani hata mke atakuzoea
 
Sasa wewe kama mwanaume wa kweli umeshindwa kukaa na rafiki yako mkashauriana?nendeni kwa mkeo mkamuulize labda ana sababu ya maana tu.
 
Sijakubaliana vitu viwili

1) Mke kumpangia jamaa mda wa kurudi nyumbani na jamaa akafuata
2) Ila pia kuwahi nyumbani sio tabia ya wanaume wa kibantu... just thinking lazima upate mda wa kuongea na ma men wenzako baada ya kazi maana humo ndo mawazo ya maendeleo na ushauri vinapotokea sio kila siku wewe saa 12 jioni upo nyumbani hata mke atakuzoea

Namba 2 ni kweli.Huyu jamaa tulikaa nae na kakaake aliongea hayo hayo.
 
Wazazi wanashape kwa kiasi kikubwa sana maisha ya watoto wao. Labda alizoea kumuona baba yake akichelewa kurudi nyumbani kila siku anamini mwanaume lazima achelewe kurudi nyumbani
 
Swali: Kwani mwisho wa sisi wanaume kurudi home ni mida gani?Na tumshauri afanyeje?

Kwa mimi navoona rafiki yako ni mtu mzima, aliyepewa muda ila hana cha kuufanyia-its strange isn't it? Kuwa u have time but nothing to do with it! Huo ni uzembe! Atafute part time kazi ya kuern kipato;
a) Labda mkewe kaona uchumi wa home ni tete, wanaume wanaowazunguka wanapambana hiyo jioni kuboost kipato. Wa kwake anamjia mapema anajikalia2

b) Labda jamaa ana gubu akifika tu home amani inatoweka! mkewe anaona bora tu achelewe ili ndoa na familia isonge mbele.

c) Labda mkewe ana jambo/shughuli ambayo huifanya mida hiyo na hataki mumewe ajue/aingilie.

Kiufupi hatuna ushahidi wa kutosha kudraw conclusion as to what the woman intended, so ushauri ni jamaa autumie huo muda vizuri asijeujutia mbeleni....MI ningepewa huo muda dah! ningefanya mengi aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom