'mwanaume bikra aliyeshindikana'

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Jamaa mmoja (32) alikua bikra na mwoga wa madem, alilazimika kukutanishwa na dem kwa mara ya kwanza baada ya washkaji kufanya mpango wa kumtafutia dem na kuwaacha wawili tu chumbani,kwani alisema yeye kutongoza ni shida kubwa kwake.

Ilikua ni jioni saa moja moja.Dem alishaambiwa kuwa huko ni kazi moja tu, hvyo alikua anasubiri tu aanzwe.bahati mbaya haikua hvyo.
Jamaa hakujua aanzeje,akafikiriaaa akasema kimoyomoyo.'ngoja nikanunue msosi tule,tukimaliza tu nat***mba nalala'.

Kweli akaenda akarudi na chips kuku wakala wakamaliza.Jamaa bado akashindwa afanyejefanyeje.akajisemea tena.'hapa ngoja nkaoge nkirudi tu nat***mba nalala.

Kweli akenda oga akarudi,demu kimyaa anamuangalia tu.jamaa bado hajui ataanzaje. akajisemea tena (palikua na gazeti la udaku mezani) ngoja niisome hii riwaya nkimaliza tu saivi serious nat***mba nalala,me mbona naogopa kijinga khaaa!saiv kweli.
Akamaliza kusoma riwaya,akasoma na katunikatuni zote na habari tele lkn hakuweza kuanzisha mchakato.

'Kaka kwaheri basi tucheki siku nyengine'..dem aliaga,na alipofika nje akawaambia washkaji nafkiri anahitaji kushikiwa aambiwe haya njoo ut***mbe'
huko ndani jamaa alijisemea 'dah kuanzia kesho nitakua natongoza mwenyewe afu naleta rum then nat***mba nalala'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom