Mwanaume auawa baada ya kukutwa akifanya ngono na maiti ya mtoto wake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wakaazi wa kijiji cha Kiwanja Ndege katika kaunti ndogo ya Kuresoi kaskazini walikumbwa na mshangao baada ya mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 45 kufumaniwa akishiriki ngono na maiti ya mwanawe wa miaka 15, kilichofuatia ni kifo cha mwanaume huyu kwa ajili ya kichapo alichopokea.

Kuna wagonjwa wa akili wengine sio rahisi kuwajuwa kwa kuwatazama usoni. Unaweza kudhani mtu ni mzima lakini kuna wakati akili zinapotea nakufanya mambo ya ajabu sana, huku hata yeye mwenye hajijuwi kama anafaya mambo maajabu. Ugonjwa wa akili unataka uangalizi wa hali ya juu sana kuweza kutambuwa na kuuelewa.
 
Haya siyo mambo yakushangaza kwa hawa wakenya
hawa nahisi ndio Taifa lenye Laana duniani kuliko taifa lolote!!
 
Dah ila jaribu kuwaambia hilo wanakijiji wanapotembeza kichapo kwa jamaa kama huyo, utauawa pia. Hapo jamaa ilibidi auawe, hamna jinsi wala nini.
 
Sina uhakika kama huyo jamaa kama alichamganyikiwa au la. Lakini huduma zetu za kiafya kwa nchi zetu za afrika hazivumbuwi matatizo ya akili mapema kama ilivyo nchi zilizoendlea. Kama ingekuwa Ulaya, huyo jamaa wangemshtukia mapema sana na wangempa dawa za kumtuliza na angendelea na maisha yake kama mtu wa kawaida.
 
Haya siyo mambo yakushangaza kwa hawa wakenya
hawa nahisi ndio Taifa lenye Laana duniani kuliko taifa lolote!!
We unavyoongea hivyo Kama ubongo wako unagonoria... Sio Wakenya wote waliofanya hicho kitendo ni mmoja aliyekua mlevi elewa information then comment nkt....
 
Oh God, I'm realy praying, begging u not to let those damn Nigerians see this news-oo. Oh Father, dont give them the orgasmic pleasure of mocking, desparaging this land you'd long forsaken as the hub for "weird news", and that we are crazy pipo!
 
Ficha upumbavu wako
wewe umeona Tukio hilo tu!!
 
Sina uhakika kama huyo jamaa kama alichamganyikiwa au la. Lakini huduma zetu za kiafya kwa nchi zetu za afrika hazivumbuwi matatizo ya akili mapema kama ilivyo nchi zilizoendlea. Kama ingekuwa Ulaya, huyo jamaa wangemshtukia mapema sana na wangempa dawa za kumtuliza na angendelea na maisha yake kama mtu wa kawaida.

Lakini mimi huwa mfuatiliaji sana wa mambo ya Ulaya, nipo kule Quora na huwa nasoma matukio ya hivi mengi sana, wale hubaka watoto wao tangu wakiwa wadogo hadi wanafikia umri wa kubalehe. Sasa pamoja na teknolojia walizo nazo ila mambo hayo yamekithiri.
Huu ni ukichaa wa kiaina ambao sijui unamuingia mtu kivipi, Mungu atuepushe maana ni aibu sana.
 
Oh God, I'm realy praying, begging u not to let those damn Nigerians see this news-oo. Oh Father, dont give them the orgasmic pleasure of mocking, desparaging this land you'd long forsaken as the hub for "weird news", and that we are crazy pipo!
seems you have been to Nairaland....hehe...hii ikifika huko Kenya kwisha
 
Back
Top Bottom