Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.

Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.

MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.
 
Tatizo ni kwamba, sio kila mwanaume anauwezo wa kufikia hayo maamuzi ya KUTULIA japo kuchepuka inatugharimu vingi.
 
Nahisi wanaume sisi hatupendi makelele na wanawake wengi Sana wanasahau hili,sisi wanaume tuko tofauti ,kwa hiyo ni lazima umsome mwenzako nini apendi,siyo we makelele tuuu,mda wote unawaza mbinu za kumtoa hela,hiyo no
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom