mwanaume asiyetaka kuoa

1WAKORINTHO 7-38 MAANDIKO YANASEMA HIVI Kwa maneno mengine:yule anayeamua kuoa anafanya vema,naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi.

mtu kama hataki kuoa asilazimishwe.......kwani ni lazima....? hata maandiko yamesema kama hujisikii potezea.....aaaaa.......
 
Habari JF..
Katika maisha kuna stages kadhaa hadi kufikia uzee kadri Mungu atakavyokupa maisha marefu...
Ivyo ni jukumu letu kama wanadamu kujipanga ili kuvuka kila steji..
Wazazi wamekua makini kuwasaidia vijana wao tangu kuzitafuta mimba zao;kuwazaa kuwalea na kuwasomesha...
Kwa wanaume unakuta kijana amesoma na amemaliza vzur stej zote na ana kazi nzuri...

Swali linakuja pale unakuta kijana amevuka miaka 30 na bado hajafikiria kuwa na mwenza wa maisha...kumekua na ongezeko kubwa sana la wanaume wasiotaka kuoa au akioa haoi kwa wakati muafaka...let's say anaoa kwenye 40's bila sababu zozote za msingi...hii inachangia kuja kuzaa wajukuu badala ya watoto;wanashindwa kutimiza majukum muhmu kwa watoto wao na ukizingatia magonjwa ya siku izi by 50 mzazi anaondoka...
Nawakumbusha vijana kujipanga mapema sio tu kikaz na kiuchumi bali pia na kifamilia...the earlier the better...

Kuoa ni nini? Unaweza ku define kuoa? Maana kuna definition tofauti za kuoa kwa watu tofauti. Wengine wanaweza kukwambia wanapenda kuoa usiku na kutaliki asubuhi. Sasa basi, ili ueleweke, inabidi u define kuoa ni nini.

Halafu unapoongelea muda muafaka, muda muafaka kwa nani? Obviously mtu kama hajaoa si muda muafaka kwake, sasa wewe unaongelea muda muafaka kwa nani? Kwako? Kwa sheria zisizoandikwa za kijamii zinazosema mwanamme akiwa na miaka fulani lazima awe kaoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu anajijua atampiga mke wake, na hivyo nyeye si husband material utamtakaje kuoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu akioa jamii itamtegemea apate watoto na yeye ana matatizo ya genetics, labda kichaa cha kurithisha, ambacho hataki kumrithisha mwanawe wala kumfanya mwanamke azae mtoto mwenye matatizo kama hayo, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu haoni maana ya maisha, na hivyo haoni maana ya kuoa na kutegemewa kuleta viumbe vingine duniani, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu anaamini dunia inazidisha watu kuliko uwezo wake wa kuwabeba, na hivyo inahitaji kupunguza uzazi, na yeye mchango wake muhimu kuhakikisha hilo linatokea ni kwa kutokuoa na kutokuzaa, utamlazimisha huyu naye aoe?

Kama mtu domo zege halafu mambo ya gender relations hayawezi, yeye mtu wa bwax na kazi zake, kashakuwa disappointed na kinadada, hana habari nao, utamlazimisha kuoa huyu?

Kwa nini watu wanapenda kuwapangia watu wengine maisha?
 
Ebwana rastaman au,kuoa kwa dunia hi muhmu,kuna vishawishi,labda ukiwa anici,kuvumilia vigumu,au oa uczae kwa wale wenye genetic problems
 
siku hizi watu wanaingia kwenye hili zoezi 'kuondoa nuksi tu' baada ya hapo kila mtu anapuyanga kimpango wake
 
Una mikakati gani ya kuzuia kabisa talaka? na malezi ya hao walioachwa na marehemu wa hiyo miaka hamsini?
 
siku hizi wanaume wanazaa zaa hovyo, then anakusanya watoto, kuoa hapo ndo ntoleee kisa anawatoto, siku ukiumwa unajiharishia kitandani unamwita dadako anakufuta mimavi
 
kuowaa inakujaa natural.''when u find right persons at right time''...kuowaa sio lazimaa uwee na malii nyingi,kuowaa ni maamuzi zaidi,sio msukumo kutokaa familia,ndugu na jamaa,jiuleze je uko tayari?
 
1WAKORINTHO 7-38 MAANDIKO YANASEMA HIVI Kwa maneno mengine:yule anayeamua kuoa anafanya vema,naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi.

I investigated it and it is true that bible says that. thanx that you opened something new in my knowledge.
 
siku hizi wanaume wanazaa zaa hovyo, then anakusanya watoto, kuoa hapo ndo ntoleee kisa anawatoto, siku ukiumwa unajiharishia kitandani unamwita dadako anakufuta mimavi

ukioa ndo mkeo atakufuta mimavi????? thubuthuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!! ilikuwa kwa bibi na babu zetu sio wadada wa leooo we waone kwa macho tu roho zao ..............!!!!
 
Back
Top Bottom