Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

kweli kabisa au mwanume kakomaa tokea asubuhi hadi jioni facebook kuweka picha tu ... yani huwa napata hasira sana

Hahahaaa...dume zima kila siku linatupia picha tano facebook....majanga haya...na kuna wale ndani ya dk kumi ameupdate mastatasi ishirini khaaa...mi nlijuaga ni under 18 wale lakini baadae nikagundua wengine ni 20+. Mtu kama huyo anategemea aje aitwe baba...my foot!
 
Wakuu habari za wakati huu.

Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kwamba wadada wa siku hizi hawana mapenzi ya dhati; wanaangalia zaidi pochi.
Hili lina ukweli kwa kiasi fulani....lakini kuna type ya wanaume ambao kifupi niseme tuu kwamba hawajitambui.

Waweza kuona mtu ana miaka 25, direction ya maisha yake haionekani kabisa....bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa mjomba..yani hajawa na uwezo hata wa kupanga chumba chake cha elfu 30 na wakati huohuo hasomi wala nini..yani yupo yupo tu na anategemea akioa awe kichwa cha nyumba eti.. Anachojua yeye ni 'I love u baby' kila baada ya nusu saa.

Hivi mpaka kufikia umri huo mtu hana mawazo ya kutengeneza future huko mbeleni itatengenezeka kweli?

Mwanamke atampenda mwanaume na umaskini wake iwapo mhusika mwenyewe anaonesha dalili za kujikwamua....kama future yako haionekani japo kwa tochi mwanamke anayejitambua atakukimbia tu na utabaki kulalamika watu hawana mapenzi ya dhati....hakuna mtu anayependa mizigo bwana..
Samahani kama imekugusa...

I have to admit this is one of the best thread on Jf
And it shows how much u have a positive mind
Tukubali tukatae wanaume wengi we just "big boys" na sio wanaume
The thing is bado tuna maisha ya so called "kula bats" kuliko uhalisia Wa maisha u feel me
We still don't recognize that there is Aline btn being a man and being a boy
Being n feeling yo responsibilities makes all the differences
Mark my word guys,kama bado unaishi the same way kama ukivyoishi miaka 5 to 10 nyuma it means umepoteza miaka hyo 10 for nothing
We have to change the lifestyles guys t all makes the diference
 
Khantwe i love you!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ooh thanx for appreciation...naangalia kichwa changu kisije kikapasuka hapa. Umenifurahisha na huo msamiati wako wa 'big boys' hakika big boys ni wengi et nao wanataka kupendwa
 
Mwisho wa usharobaro majukumu....We tulia tu...watazinduka jua limeshazama !! Kuna mpuuzi mmoja namfahamu anadiriki kusema kabisa yeye hana haja ya kufanya kazi, anasubiri hela za urithi !! Kweli maisha tambarare!! Dah

Heheheh tatizo watu wakiambiwa milioni let us say 50 wanaona nyingiiii lakini ukweli na uhalisia kama hazina mzunguko Wa Ku Alisha faida ni pesa ndogo tu
Hilo limbukeni aisee yaan sijui niexplain vo mkuu ila "mwisho Wa usharobaro majukumu"
 
Hahahaaa...dume zima kila siku linatupia picha tano facebook....majanga haya...na kuna wale ndani ya dk kumi ameupdate mastatasi ishirini khaaa...mi nlijuaga ni under 18 wale lakini baadae nikagundua wengine ni 20+. Mtu kama huyo anategemea aje aitwe baba...my foot!

mimi kwa kweli acha nionekane mjinga na mbaya lakini mwanume ambaye amerelax namdharau sana namwona anafikiria urefu wa pua yake.... na wengine wakisha nunua vigari sasa ndo kupelekana sehemu za starehe kila siku sijui maendeleo... ukikaa nae discusinon zake sasa sijui gari gani lina speed sana anlo fulani jamaa anaela... kazi kufanya wavivu kama hata kufua boxer hayajui kujipulizia pafyumu kali tu
 
Nasubiri siku na nyie mje na thread yenu ya watoto wa kike kutochukulia serious masomo wala maisha. As long as wana vi papuchi wanajua wana asset itakayowatoa ki maisha.

cc siafu dume, gwijimimi ... etc.

Hehehehe u know me luv I don't disrespect women but u know how much about having a "fake life"
Pipo act utasema maisha yamekuja na "script" bana
Lavu yuu #karuceee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa...dume zima kila siku linatupia picha tano facebook....majanga haya...na kuna wale ndani ya dk kumi ameupdate mastatasi ishirini khaaa...mi nlijuaga ni under 18 wale lakini baadae nikagundua wengine ni 20+. Mtu kama huyo anategemea aje aitwe baba...my foot!

Nadhan kuitwa baba sio tatizo ila kubeba majukumu ya baba hapo ndo mwanaume anapoonekana
 
Ooh thanx for appreciation...naangalia kichwa changu kisije kikapasuka hapa. Umenifurahisha na huo msamiati wako wa 'big boys' hakika big boys ni wengi et nao wanataka kupendwa

Kupendwa wanaweza lakini how that relationship will survive?
Being responsible t doesn't mean that you ave to have a lot of money
even bakhresa or mengi can not be responsible
The thing is on mindset we suppose to have grown up mind not boddies
 
mimi kwa kweli acha nionekane mjinga na mbaya lakini mwanume ambaye amerelax namdharau sana namwona anafikiria urefu wa pua yake.... na wengine wakisha nunua vigari sasa ndo kupelekana sehemu za starehe kila siku sijui maendeleo... ukikaa nae discusinon zake sasa sijui gari gani lina speed sana anlo fulani jamaa anaela... kazi kufanya wavivu kama hata kufua boxer hayajui kujipulizia pafyumu kali tu

Wanasikitisha vijana wa hiki kizazi...
 
Back
Top Bottom