Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,825
Wanakuwa mizigo km la kinyesi lazima ulitue kwa harufu.
maneno yako sijayapenda mkuu!
Kuwa hivyo , haiondoi ubinadam kwann umfananishe na kinyes mwenzio
ah! Sio vizuri banah!:...hakupenda kwake!
Wanakuwa mizigo km la kinyesi lazima ulitue kwa harufu.
Majigo kumbe we ni Serengeti boy....naona kama umenilenga vile.....
hahahahahah
haina tabu, si uko poa lakin eeh!
Basi tufanye somo limeeleweka
pamoja sana
Hahahahaaa....mkuu mbona kama unalazimisha nikupe jibu unalolijua wewe...
Hii inahusu zaidi baadhi ya makabila, kwetu hiyo kitu hamna!
Aiseee Chuwa.. eti kule kwenu ipo? Na kule kwa Kina Malya, Mrema kwa kina Rindi na Sina nayo ipo? je hapo kina Maro na mariale wapo?
Na kule kwa kina ole Saitoti, lerionka, Ole Ngavuti, Lekakenyi wapo?
Je Mzizima na watu wake, wapo?
Mkuu nahisi hujaelewa nlichozungumza...mi sijaongelea makubwa kama umenielewa...nazungumzia wale ambao hata madogo hawana na hawaoneshi juhudi za kutoka pale walipo
Hahahaaa....Does it matter?
Majigo kumbe we ni Serengeti boy....
Utajiju LOL.....ila sio siri mimi nikiwa bado kijana mdogo nakua, wazazi walinihasa na kuwa wakali sanaaa nisijenge urafiki au kuzoeana na vijana/makundi ambayo vijana hawajifunzi kuwajibika na maisha yao. Hata bible inasema " Bad company corrupts good morals " na kweli ukiangalia sasa hv vijana wengi nilio kua nao mtaani kwetu kipindi hcho mpaka leo hawaeleweki...wao ni pombe, starehe na kiongea ujinga tu ukicheck wengi wetu tuna maisha yetu tayari. Hata wewe ukiwa na familia yako hakikisha unakua mkali kwa watoto wako wasimame katika mstari wa maadili mazuri na kupenda kuwajibika. Usije ukapata aibu bdae. Siri ya mafanikio ni kuwa na maarifa na kupiga kazi tu hamna kingine. No shortcuts !!
Hahahaaa usijali mkuu kila mtu ana namna ya ku-express feelings
Majigo kumbe we ni Serengeti boy....
Umenena vema.....sio zee zima kutwa linashindia kuangalia muvi lol