Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

Wakuu habari za wakati huu.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kwamba wadada wa siku hizi hawana mapenzi ya dhati; wanaangalia zaidi pochi.
Hili lina ukweli kwa kiasi fulani....lakini kuna type ya wanaume ambao kifupi niseme tuu kwamba hawajitambui.
Waweza kuona mtu ana miaka 25, direction ya maisha yake haionekani kabisa....bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa mjomba..yani hajawa na uwezo hata wa kupanga chumba chake cha elfu 30 na wakati huohuo hasomi wala nini..yani yupo yupo tu na anategemea akioa awe kichwa cha nyumba eti.. Anachojua yeye ni 'I love u baby' kila baada ya nusu saa.
Hivi mpaka kufikia umri huo mtu hana mawazo ya kutengeneza future huko mbeleni itatengenezeka kweli?
Mwanamke atampenda mwanaume na umaskini wake iwapo mhusika mwenyewe anaonesha dalili za kujikwamua....kama future yako haionekani japo kwa tochi mwanamke anayejitambua atakukimbia tu na utabaki kulalamika watu hawana mapenzi ya dhati....hakuna mtu anayependa mizigo bwana..
Samahani kama imekugusa...
Huu ni ukweli japo unauma.
 
Mwisho wa usharobaro majukumu....We tulia tu...watazinduka jua limeshazama !! Kuna mpuuzi mmoja namfahamu anadiriki kusema kabisa yeye hana haja ya kufanya kazi, anasubiri hela za urithi !! Kweli maisha tambarare!! Dah

Duuh kuna watu vichwa vyao vimejaa tope...kwa hiyo hela hiyo ya urithi haiishi.....kwa sababu hajajizoesha kufanya kazi hata akiipata itayeyuka kama barafu maana kama kutafuta hajui hata matumizi hawezi kuyajua pia...
 
Nasubiri siku na nyie mje na thread yenu ya watoto wa kike kutochukulia serious masomo wala maisha. As long as wana vi papuchi wanajua wana asset itakayowatoa ki maisha.

cc siafu dume, gwijimimi ... etc.

Unaambiwa mjini msingi kiuno....teh teh sijui ni kwa nini watu wanapenda kujinyanyasa kijinsia namna hii...
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwingine anaona bila mwanaume maisha hayawezi kuenda....hana hata muda wa kutafuta anachokijua ni kujiremba tu wala hawezi kuhangaika kuwa kesho itakuwaje

weee ukiwa mzuri tayari una kazi sasa uhangaike kufanya kazi yengine ya nini
ebo kugegedwa napo kazi...wanavumilia mengi jamani wadada wanao
 
Teh mkuu....parasite tena..?
friend ana add value wakati parasite ye ananyonya tu, mpenzi au circle ya marafiki wa aina ya parasite wanakupotezea muda tu. You can make more more money but you cant make more time. Tumia muda vizuri kujijenga
 
weee ukiwa mzuri tayari una kazi sasa uhangaike kufanya kazi yengine ya nini
ebo kugegedwa napo kazi...wanavumilia mengi jamani wadada wanao

Teh teh...ama kweli kazi ni kazi bora mkono uende kinywani
 
friend ana add value wakati parasite ye ananyonya tu, mpenzi au circle ya marafiki wa aina ya parasite wanakupotezea muda tu. You can make more more money but you cant make more time. Tumia muda vizuri kujijenga

Amen mkuu...
 
Back
Top Bottom