Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,586
2,000
Wakuu habari za wakati huu.

Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kwamba wadada wa siku hizi hawana mapenzi ya dhati; wanaangalia zaidi pochi.
Hili lina ukweli kwa kiasi fulani....lakini kuna type ya wanaume ambao kifupi niseme tuu kwamba hawajitambui.

Waweza kuona mtu ana miaka 25, direction ya maisha yake haionekani kabisa....bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa mjomba..yani hajawa na uwezo hata wa kupanga chumba chake cha elfu 30 na wakati huohuo hasomi wala nini..yani yupo yupo tu na anategemea akioa awe kichwa cha nyumba eti.. Anachojua yeye ni 'I love u baby' kila baada ya nusu saa.

Hivi mpaka kufikia umri huo mtu hana mawazo ya kutengeneza future huko mbeleni itatengenezeka kweli?

Mwanamke atampenda mwanaume na umaskini wake iwapo mhusika mwenyewe anaonesha dalili za kujikwamua....kama future yako haionekani japo kwa tochi mwanamke anayejitambua atakukimbia tu na utabaki kulalamika watu hawana mapenzi ya dhati....hakuna mtu anayependa mizigo bwana..
Samahani kama imekugusa...
 
iMad

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,833
0
Umesema ukweli vijana wa kitanzania we have to step up our game..kuna circle za maisha tunakuwa nazo inakuwa shida sana, unakuta tuna fikiria bata mno kuliko mambo flani flani ya msingi kwenye maisha..bata zinatakiwa ziwepo lkn wakati huo kuna basis za maisha tunaziweka..na hii hasa ipo kwa wadogo zetu wadogo wa sasa hivi..maana jamii yetu inasikitisha..
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,309
2,000
Wakuu habari za wakati huu.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kwamba wadada wa siku hizi hawana mapenzi ya dhati; wanaangalia zaidi pochi.
Hili lina ukweli kwa kiasi fulani....lakini kuna type ya wanaume ambao kifupi niseme tuu kwamba hawajitambui.
Waweza kuona mtu ana miaka 25, direction ya maisha yake haionekani kabisa....bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa mjomba..yani hajawa na uwezo hata wa kupanga chumba chake cha elfu 30 na wakati huohuo hasomi wala nini..yani yupo yupo tu na anategemea akioa awe kichwa cha nyumba eti.. Anachojua yeye ni 'I love u baby' kila baada ya nusu saa.
Hivi mpaka kufikia umri huo mtu hana mawazo ya kutengeneza future huko mbeleni itatengenezeka kweli?
Mwanamke atampenda mwanaume na umaskini wake iwapo mhusika mwenyewe anaonesha dalili za kujikwamua....kama future yako haionekani japo kwa tochi mwanamke anayejitambua atakukimbia tu na utabaki kulalamika watu hawana mapenzi ya dhati....hakuna mtu anayependa mizigo bwana..
Samahani kama imekugusa...

Pole...Yamekukuta nn ?? Tehe
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
27,135

Ulivyo nisema uliona haitosha hadi uamue kuja kunidhalilisha huku jf!?
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,238
1,225

Hii inahusu zaidi baadhi ya makabila, kwetu hiyo kitu hamna!

Aiseee Chuwa.. eti kule kwenu ipo? Na kule kwa Kina Malya, Mrema kwa kina Rindi na Sina nayo ipo? je hapo kina Maro na mariale wapo?

Na kule kwa kina ole Saitoti, lerionka, Ole Ngavuti, Lekakenyi wapo?

Je Mzizima na watu wake, wapo?
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,102
2,000
Wakuu habari za wakati huu.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kwamba wadada wa siku hizi hawana mapenzi ya dhati; wanaangalia zaidi pochi.
Hili lina ukweli kwa kiasi fulani....lakini kuna type ya wanaume ambao kifupi niseme tuu kwamba hawajitambui.
Waweza kuona mtu ana miaka 25, direction ya maisha yake haionekani kabisa....bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa mjomba..yani hajawa na uwezo hata wa kupanga chumba chake cha elfu 30 na wakati huohuo hasomi wala nini..yani yupo yupo tu na anategemea akioa awe kichwa cha nyumba eti.. Anachojua yeye ni 'I love u baby' kila baada ya nusu saa.
Hivi mpaka kufikia umri huo mtu hana mawazo ya kutengeneza future huko mbeleni itatengenezeka kweli?
Unachosema ni kweli mdada mm naitafuta 26 now ajira hazipo na bad
Mwanamke atampenda mwanaume na umaskini wake iwapo mhusika mwenyewe anaonesha dalili za kujikwamua....kama future yako haionekani japo kwa tochi mwanamke anayejitambua atakukimbia tu na utabaki kulalamika watu hawana mapenzi ya dhati....hakuna mtu anayependa mizigo bwana..
Samahani kama imekugusa...
Unachosema ni kweli mdada ,mm now natafuta 27 bado jobless na nailshi kwa watu kwa kweli it pains a lot and it is very shameful,niligraduate with 24 years nilikuwa na mchumba kwa muda wote Huo mambo yalipokua hivi nilimwambia kila kuna mwacha aamue atakalo,
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
27,192

pole..
 
Pole aisee....I know it's painful...jitahidi kutafuta kazi yoyote mradi usishinde umekaa. Mimi mwenyewe jobless na nna kikazi ninafanya ambacho kwa haraka haikustahili afanye graduate lkn ndo hivyo nimejishikiza at least napata ugali
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,505
2,000
naona kama umenilenga vile.....
hahahahahah
haina tabu, si uko poa lakin eeh!
Basi tufanye somo limeeleweka
pamoja sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom