Mwanaume asiyejielewa

Hawataki maisha magumu,ila jamaa hayuko njema, still wanamfosi aoe. Yupo tayari kuvumilia?
 
Wewe ndiyo mwanamke mpumbavu... Acha ubinafsi... Na hata upate mwanaume unayemtaka atakuacha tu uzeeke ukihangaika na wanaume...
 
Achana naye huo ni mzigo kama angekuwa na akili angetafuta hata mtaji auze maji ila sio kuwa marioooo aseee mimi bora niuze maji ya kandoro kuliko kukaa kwa demu ni mateso hata pumzi haitapita
 
Hawataki maisha magumu,ila jamaa hayuko njema, still wanamfosi aoe. Yupo tayari kuvumilia?
Ataoa vipi Kama Ela yenyewe ya kula inampg chenga,

Akienda ukweni akatajiwa vikorokoro vya mahali na kuoa ataweza kumudu?

Akili za Wanawake Sijui sometimes huwa zinawaza nn[emoji848]
 
Hapa Wakushauriwa Ni huyo kijana

Ushaur Ni kwamba
Akuvumilie TU kipind iki kigumu Hana KAZI unavomhudumia uku unamsimanga

Ila mambo yake yakikaa sawa
Namsihi akupige chini haraka,akaoe mwanamke asie na roho ya ubinafsi Kama Wewe.
 
Inakuaje mbinafsi wakati anamhudumia kila kitu? Huoni amejitoa sana?
 
Inakuaje mbinafsi wakati anamhudumia kila kitu? Huoni amejitoa sana?
Ubinafs Ni roho,
Roho sio Maneno Bali matendo
Uzi wako umeandika kimasimango
Ulichoandika sio bahat mbaya Bali yametoka rohoni
 
Unapomsimanga mtu kisa umemsaidia
Tafsiri yake ujamsaidia kutoka rohoni Bali Ni ile utafanyaje

kwa wapenz tafsiri yake kwako mapenz yameshaisha, unaishi nae ilimradi TU

Na mpk Umeandika hivi,
Maana ake uko ndani jamaa kuna rangi rangi zako halisi keshaanza kuziona

Ndo Mana kila unalalamika anasita sita sana kukuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…