Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Natamani kukuelewa unachomaanisha lkn wapiHahahaha siri imefichuka ingawa siku ile kwny kitabu hukumtaja
Natamani kukuelewa unachomaanisha lkn wapiHahahaha siri imefichuka ingawa siku ile kwny kitabu hukumtaja
Njoo kwangu nitakupenda kuliko maelezoSlim Kwahiyo jamaa yupo singo sio?
Ngoja nije pm labda kuna namna
Ilitakiwa uwe ushaonesha hayo mapenzi hapa tehNjoo kwangu nitakupenda kuliko maelezo
Nipe moyo wako tu utaonaa tuIlitakiwa uwe ushaonesha hayo mapenzi hapa teh
Natamani kukuelewa unachomaanisha lkn wapi
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo yule wa pm shemale sasa penzi litakoleaje mkuuPenzi limekolea huwezi nielewa [emoji23][emoji23][emoji15]
Utanipenda hadi nami nikupe talaka, okay nitakukabidhi rasmi mwisho wa mweziNipe moyo wako tu utaonaa tu
Kumbe ulishaenda kukagua mambo....upo fasta[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo yule wa pm shemale sasa penzi litakoleaje mkuu
Hakuna haja ya ukaguzi hapa hapa unapata jibuKumbe ulishaenda kukagua mambo....upo fasta
Hakuna haja ya ukaguzi hapa hapa unapata jibu
Usingizi kipindi cha kwanza, now ni half timeUmepotea for two hrs....i wonder ulikuwa unafanya nn
Usingizi kipindi cha kwanza, now ni half time
Hujawai kulala alafu usingizi ukakata?Halftime ya kikubwa
Hujawai kulala alafu usingizi ukakata?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa mkuu, half time ya kikubwa si ndo kausingizi kanakuja? Utapata kweli nguvu za kuchatiHahahahahaha
Unavyojitetea sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa mkuu, half time ya kikubwa si ndo kausingizi kanakuja? Utapata kweli nguvu za kuchati
Aah! Sasa round two huku unachat kweli?Saa ile ndio ilikuwa half time now umeamshwa round two
Aah! Sasa round two huku unachat kweli?