Mwanaume apewa talaka na mkewe

Mwanaume apewa talaka na mkewe

Aiseee. Hii ngumu kumeza aiseee.

Huko alikofika ni mbali sana aisee sababu yeye ndio alitakiwa awe njia ya kumfanya mume ampende mama yake hata kama isingekuwa kwa asilimia mia ila kwa kiasi fulani ingewezekana.

Ila ndio hivyo imeshatokea, sifa za kipekee zimuendee huyo Mke mtoa talaka.
Ninavojua wewe usingeweza!
 
Huyu mwanamke anafaaa kuoa, kwa yeyote mwenye contacts zake anfikishie ujumbe wangu!
 
Ninavojua wewe usingeweza!
Kweli kabisa. Yaani hapo kama ni mtihani nimepata sifuri aiseeee.

Mie ningepigania na kujitahidi kama ingewezekana kumfanya awe ni mume mwenye kumpenda Mama yake na sio kumpa talaka aisee.

Kwanza kwa dunia ya leo wanaume wanaojua kupenda hata hawapo walio wengi waigizaji.
 
Tutake radhi!
 
INGEKUWA MWANAMKE WA KITZ HAPO ANGEJISIFU PLUS KWENDA KUMTAMBIA MAMA MKWE KUWA MWANAYE KAMWEKA KIGANJANI

KWELI MUNGU KAWAPENDELEA WEUPE KUFIKIRI.

HATA BIBLIA INASEMA, MTU ANAYESEMA ANAMPENDA MUNGU ASYEMWONA WAKATI HAMPENDI NDUGU YAKE ANAYEMWONA, NI MNAFIKI.
 
Back
Top Bottom