DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,617
Unaweza kua na vyote na bado usipendwe,
Mapenzi ya dhati kwa wanawake Mara nyingi huongozwa na hisia zaidi kuliko material things au mbilinge kitandani.
Kupendwa na mwanamke kwa dhati Ni bahati nasibu,
Kama mwanaume,
Kwa Mwanamke Angalia utii na heshima TU kwako. Mengine iachie nature.