Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,073
- Thread starter
- #21
Hapo ndipo tatizo lilipo; 1/y = xHuwezii ukawa navyo vyotee kama unaupiga mwigi kwa bedi basi kwa wallet hamna kitu au ukiupiga mwingi kwa wallet kwa bed sifurii
Hapo ndipo tatizo lilipo; 1/y = xHuwezii ukawa navyo vyotee kama unaupiga mwigi kwa bedi basi kwa wallet hamna kitu au ukiupiga mwingi kwa wallet kwa bed sifurii
Itategemea na umbali uliopo kwa wahusikaWatu ni wanajeshi kazi kazi bills wanalipa bado anagongewa.
Ukikua huta hangaika na mwanamke.
Binadamu pori, hisia zao hazina tofauti na wanyamaVipi ndugu zetu wahadzabe...?
Pesa huwa inaleta dharauHuwezii ukawa navyo vyotee kama unaupiga mwigi kwa bedi basi kwa wallet hamna kitu au ukiupiga mwingi kwa wallet kwa bed sifurii
😂😂😂yani nipambane kusaka dooo,afu nihangaike na kitandani.......
Katika utafiti mdogo nilioufanya kwa warembo wakali saba, nimekuja kugundua; mwanaume anayeweza kulipa 'bill' pamoja na kuwa na uwezo wa kulizungusha gurudumu vizuri; ndio hupendwa zaidi na wanawake.
Uwezo wa kulipa 'bill' pamoja na uwezo wa kuzungusha gurudumu vizuri, vyote vinatakiwa viende kwa pamoja.
Iwapo, kimoja wapo kitapungua; uhusiano uliopo utakuwa na mizengwe mingi.
Njooni kwa mjadala.
Kwa mujibu wa muanzisha uzi, huyo mkuruzenzi(we sema mkurugenzi) pesa anayo ila hana MBUNOAnaolewa na mkurugenzi wa TRA afu anagongwa na msukuma mkokoteni
Maana ake hapo kwanza ncheke[emoji23][emoji1787]I wsh ningejaaliwa wa ivo,bahati mbaya wanapatikana wa mbona we unakaz.Kila kitu kinakuelemea
😭 😭Maana ake hapo kwanza ncheke[emoji23][emoji1787]
Basi baasi, usilie bibie, nyama eeh, nyamaza mtoto mzuri eehh.. To yeye wangu mimi huyo,, haya nyamaza chaurembo, nyamaza bibie.[emoji24] [emoji24]
🤣 🤣we jamaa wewe...imebidi nicheke tuBasi baasi, usilie bibie, nyama eeh, nyamaza mtoto mzuri eehh.. To yeye wangu mimi huyo,, haya nyamaza chaurembo, nyamaza bibie.
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] [emoji1787]we jamaa wewe...imebidi nicheke tu
Sasa kichwa cha huu uzi ulitakiwa uandike mwanaume ambaye wanawake wanapenda kumtumia. Sio kupendwa. Mtu anaekupenda hawezi furahia kuona unalipia mabili ambayo wametumia watu wengine.Katika utafiti mdogo nilioufanya kwa warembo wakali saba, nimekuja kugundua; mwanaume anayeweza kulipa 'bill' pamoja na kuwa na uwezo wa kulizungusha gurudumu vizuri; ndio hupendwa zaidi na wanawake.
Uwezo wa kulipa 'bill' pamoja na uwezo wa kuzungusha gurudumu vizuri, vyote vinatakiwa viende kwa pamoja.
Iwapo, kimoja wapo kitapungua; uhusiano uliopo utakuwa na mizengwe mingi.
Njooni kwa mjadala.