Mwanaume anawezaje kulala kwenye apartment ya mwanamke?

Mwanaume anawezaje kulala kwenye apartment ya mwanamke?

vipi unae kuja kulala kwenye nyumba ambayo mwanaume kapngishiwa na mwanamke mwenzio, na usafiri kapewa wa kuuzia sura mjini? ukikodishiwa mabaunsa kukuharibu kila aina ya tundu?
 
Linalala kabisa linakoromaaaaa.
Lilivyokosa adabu linaota kabisaaaaaa.
Na asubuhi litaomba maji ya kuoga ya moto.
😁😁😁😄 Jinga kabisa
 
Hapa kuna mambo mawili;

●Kwamba unakaribisha wanaume ambao sio wahusika wa hiyo nyumba huku unajua fika kuwa anayewajibika na wewe yupo

●Kwamba kwa dunia ya sasa hujiwezi hadi yupo mtu anayekufanya uishi mjini, hadi kulipiwa mahali pa kulala.

Wanawake amkeni mtafute hela..
 
Linalala kabisa linakoromaaaaa.
Lilivyokosa adabu linaota kabisaaaaaa.
Na asubuhi litaomba maji ya kuoga ya moto.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1] Jinga kabisa
Sasa jamenii.. Tukikaribishwa tusiende?

Kama wamependana na kukaribishana wenyewe bhas tuwaachie mambo yao.

Mbaya ni kulazimishana tu.

Wakumshangaa hapa ni huyo anaejua kodi analipiwa na Mr Y ila anamkaribisha Mr Z kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siwezi Kwanza nitakosa Amani na furaha sitaweza kulala usingizi ukaja nitakosa kujiamini
 
Ujengewe sanamu kubwa sana liwekwe pale viwanja vya Chinangali Dodoma
 
Hapa kuna mambo mawili;

●Kwamba unakaribisha wanaume ambao sio wahusika wa hiyo nyumba huku unajua fika kuwa anayewajibika na wewe yupo

●Kwamba kwa dunia ya sasa hujiwezi hadi yupo mtu anayekufanya uishi mjini, hadi kulipiwa mahali pa kulala.

Wanawake amkeni mtafute hela..
😁😁😁😁 sasa tutafute pesa na wewe hela zako zitakuwa na kazi gani?
 
Sio tu kuwasha TV na mzigo nalia kuanzia kwenye kochi bafuni hadi chumbani una lingine ??
 
Kwanza kuja geto nkupe nauli, pia Ukija kwangu unaondoka na sweta langu la hood, tisheti, perfume yangu, unaagiza kiepe na nguruwe pia, hupiki, huoshi vyombo, hufui (eti mpaka nikuoe). Ukiondoka unataka na nauli juu.

Nakuapia nakuja kwako, nalala, nakukaza, na fegi navuta kufukuza mbu. Bladifaken!
 
😁😁😁😁 sasa tutafute pesa na wewe hela zako zitakuwa na kazi gani?
Tumewapangishia magetto, tukaweka screen kubwa ukutani, halafu hao tuliowapangishia wanakaribisha wanaume wengine kwenye himaya zetu...
Nani wa kurushiwa lawama hapo!!
 
Back
Top Bottom