Mwanaume anawezaje kulala kwenye apartment ya mwanamke?

Mwanaume anawezaje kulala kwenye apartment ya mwanamke?

Tembo huchinjwa pale pale alipodondokea, hata moto hupelekwa popote pale utelezi umepatikana…. ikitokea tutapimana ubavu tu.
 
Malaya hadi amenikubalia unafikiri anajali nini kuhusu mlipakodi?
 
Huyo analipiwa Kodi na Mume wa mtu ndiyo maana ana gurts hadi za kuingiza vi Ben ten vyake ndani kwa Mshikaji kisa anajua timetable ya ya huyo Mume wa Mtu kua midaa hii Mshikaji hawezi toka kwa mkewe!!
 
Linalala kabisa linakoromaaaaa.
Lilivyokosa adabu linaota kabisaaaaaa.
Na asubuhi litaomba maji ya kuoga ya moto.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1] Jinga kabisa

Hivi ni mimi nahitaji kujiuliza kuhusu uwepo wa mwingine au wewe unayemjua na bado umeniruhusu?

Ukishaniruhusu tu mimi najipa mamlaka, maji ya moto nioge na hata koti nitaliacha hapo…. utajua mwenyewe.
 
Si tulikubaliana nyie ni super women mnaoweza kujitaftia na kujilipia kila kitu??

Imekuwaje tena mnalalama kua wanaume wakikutwa na wanaowalipia wakati nyie ndo walipaji?

Kwahiyo zile sifa mnazopeanaga ile siku yenu huwa ni batili??
Napigia mstari hapa.
 
Wanaitwaga marioo, yaani full ubishoo wanapenda hata wakae tu wapike wagonge ngozi kazi iishe hawajali kabisaaaa, yani hata mwenye kulipa kodi siku akija jamaa akiambiwa akae benchi mwenyewe kaja wanakubali tu maana ni kama gari lisilokua na matairi.
Aisee..hii ni zaidi ya huo umarioo sasa.
 
Si tumekubaliana usawa wa kijinsia..??.sasa kama wewe unaendaga gheto kwake, vipi ishangaze akija kwako...??.kama ina multrelation si unasema ty asije muende lodge..??.
 
Alafu haya matatizo yapo sana huko Daslam, na natizo kubwa wavulana wamezidisha ulaji wa chips na miguu ya kuku mixer utumbo...😎
Utumbo na miguu nasikia vitu affordable na vinapatikana haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom