Linda Joseph
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 462
- 871
Yes nyie wanaume nawauliza!
Ni kwamba unajiamini sana? Hata hujui hiyo rent huyo mwanamke analipiwa na nani? Unawasha na tv flat kuubwa ukutani unaangalia mpira wa ulaya,[emoji3064][emoji3064] huna hata wasi? Mnajiamini nini nyie? Ndio maana hizi kesi za kulawitiwa haziishi, hebu epukeni hizo aibu ndogo ndogo kwa kufanya setting mahali salama.
Mnajuana sana kwamba mwenye mali akikukuta mtacompromise? Ooh God forbid.
[emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218]