Mwanaume anapoomba msamaha kwa mpenzi wake

Nakuomba msamaha baby,wewe ndo nira ya moyo wangu,kovu la maisha yangu..bila wewe siwezi kucheza hata ndombolo! wewe ndo maimuna wa mahaba yangu,penzi lako ni tamu zaidi mwalobaini.. mwendo wako ni zaidi ya yule teja hamisi!
moyo wako ni hazina zaidi ya kitabu cha orodha.. jicho lako ni zaidi ya kungu lililooza!
ngozi yako ni kama mamba mchanga anaeelekea kukomaa,wewe ndo kama kucha la gumba langu niendapo upo!
macho yako mazuri kama umeona pochi yenye mia baby.
nisamehe bure maby:D
 
13521888_10207955330694972_1612672817750357453_n.jpg
CHIKIRA MTABARI nani kakwambia uje upost hii picha tuliopiga mimi na wewe mwaka jana?? unanitafuta ee
 
Back
Top Bottom