Ni tabia tu...
Perspicacious!
Najua wanaume wenzangu mtanichukia lakini nataka kujua ni sababu zipi zinapelekea mwanaume kuwa mzushi,muongo,mnafiki,mchonganishi aka mmbeya.Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni homemate,tumesoma chuo kimoja na ni graduate.Rafiki yangu huyu niligundua siyo baada ya kuchonganisha wanandoa na kupelekea kuvunja ndoa hiyo.Kibaya zaidi baada ya kupangiwa kituo kimoja cha kazi kama wajiriwa serikalini alinichonganisha na boss wangu na kuharibu uhusiano wetu mzuri na kufanikiwa kuchukua cheo changu.Nimesalitiwa na rafiki zangu wengi kama hawa.Sasa nasema hawaniwezi tena.Inakuwaje mwanaume anakuwa hivi?????
Weka kisa cha wewe,boss na huyo rafiki yako nasi tutajua kama ni mmbea au wewe ulikuwa na shida kweli!!!!!
Kama ulikiwa unafisadi ofisi na nchi na yeye ni mzalendo ulitaka akufichie uchafu wako?????!!!!!
Nini kilitokea????!!!!
Na kama wewe sio mmbea kwa nini hujam face umwambie bali umekuja kumsengenya huku????!!!!

Nina uhakika na wewe ni mkagera.Una stress
Karibu Kilosa.
Kwa yeyote mwanaume mwenye tabia hiyo amezidiwa na hormones za kike ni kumuandalia kikundi cha kumsuta huku amevalishwa kitop na nini kile dada white mnachovaa ndani lakini juu ya kyupi kiunoni.Mimi kwa tabia yangu kama mwanaume huwa simsemi mtu hadi awe hayupo mahali pale ,je asiposikia au kujua nimemsema huo kwani utakuwa umbeya?Tehe teheeeHata wewe ni mbea coz umbea ni mtindo wa kueneza taarifa za mwenzio bila idhini yake.
Je umemtaarifu kuja kumuandika huku?