Mwanaume ananipasua kichwa

Millembe,
Miaka 7 ya kuishi pamoja huku mkila na kupakua! Wewe kwanza dai talaka yako kisha masuala mengine yafuate
 
Wewe kweli Millembe.
Boyfriend miaka saba?
Mwanaume anakaa kwao?
Uishi nae muwe free, hivi huna wazazi wewe?
Wewe ni dini gani?

Nawapa pongezi wazazi wa mwanaume kukuchukia kwakuwa hujielewi aisee, unaendekeza tamaa za mwili kuliko uthamani wa utu wako.

Sent using SangaweJr
 
Kama hataki kukulipia mahari basi fanya kumwoa yeye. mpangie chumba na umlishe ili yeye aku gegede tu
 

Hahaha hao wameshazoeana vya kutosha, wakichombezana kwenye simu wanakutana wanagegedana mambo yanaenda hafu mtu anakuja kulalamika humu.
 
Millembe,
Dah....kwa wale wasiojua....hili ndiyo linaitwa penzi la kweli....hongera sana
 
Usirudie kwenda kuishi kwao kabla hamjafunga ndoa, na pia huyo jamaa yako ndo anatakiwa apange na sio wewe na mfunge ndoa ndo muishi pamoja miaka saba ya uchumba ni mingi.
Inamaana hujui siku izi wanawake ndo wamekuwa wakijilipia adi mahari na kujinunulia pete za uchumba, ye haoni ajabu akipanga chumba abebe mzoga wake aweke ndani
 
Daby,
Dah...braza, kuna siri kubwa ipo kwa huyu dada..hajaisema hapa ila inaonekana wazi kabisa...usimlaumu kabisa kwa anavyovifanya 🤣 🤣🤣🤣
 
7 years ***?then utakuja hapa kuomba mchumba au mwanaume aliye serious akufuate/Are you serios now?Atakayekuoa ataoa nini?Be serious huyo anakupotezea muda wako.
 
Mimi sikushauri ukapange chumba ili muwe "free" kama ulivyosema, ila ninachokushauri fungeni ndoa kwanza.
Kama hataki ndoa jikatae mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…