Moja ya vitu vinavyodetermine umakini wa mtu ni pamoja na iandishi;
1. Herufi kubwa mwanzo wa sentensi;
2. Kuacha nafasi kila baada ya neno, kituo au mkato;
3. Usahihi wa spelling; na
4. Lugha za kujihami.
Unapotoa tangazo la namna hii jaribu kuzingatia hayo kwa uchache kwa sababu wengi wanakusoma kwa ulichokiandika.