Mwanaume anahitajika apa

picha yko pliz

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Safi kabisa Aicca waambie na wenzio waige mfano wako full kufunguka sio unahitaji mwanaume unakaa kujifichaficha utazeeka bure Mungu akutangulie upate mme mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrejesho vipi?
 

Moja ya vitu vinavyodetermine umakini wa mtu ni pamoja na uandishi;

1. Herufi kubwa mwanzo wa sentensi;
2. Kuacha nafasi kila baada ya neno, kituo au mkato;
3. Usahihi wa spelling; na
4. Lugha za kujihami.

Unapotoa tangazo la namna hii jaribu kuzingatia hayo kwa uchache kwa sababu wengi wanakusoma kwa ulichokiandika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…