Mwanaume ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara

ni
ni ngumu said:
Jiulize kwanza anajua kutunza hela??

Ana akili ya maendeleo??

Kuna mtu alimuacha mke na mimba ya mwezi 8 na hajamrudia hadi leo????

Alikuwa Ana goli la kuchoma nyama choma Arusha,kila siku Ana mpa mke elfu 20 aweke toka mimba imeanza hadi mimba Ina miezi nane.Kila siku mama tunza hiyo itatusaidia tukipata mtoto hapo na hela ya chakula anatoa na nyama anarudi nayo karibu kila siku...

Miezi nane imefika, mwanamke inabidi aende kujifungulia kwa mama ake maana jamaa Ni yatima, mwanaume anauliza ile pesa iko wapi tujue unaenda na sh ngapi kwa mama, Mwanamke anasema Ana laki na ishirini..miezi 8 *30*20,000=milioni 5 kasoro hiyo.Mara nilimlipia mdogo wangu Ada mara nilinunua sijui mavitu gani.Jamaa alilia kama mtoto.

Baada ya hapo akasusa mtoto na akamwambia mwanamke ukienda kamwe usitie mguu wako kwangu.Kaoa saivi na Ana nyumba tyr.
ningepata Mume wa hivi ningefurahia sana na yeye pia angefurahi mnoo!
 
Mimi kadi anakaa nayo yeye, ananipa nauli tu ya.kazini na chakula.kwa kula job basi....
 
Back
Top Bottom