Mwanaume ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara

Inatakiwa mtupe 10% kwa ajili ya matumizi binafsi, halafu inayobaki mtakuwa mnaacha hela ya chakula na matumizi ya watoto kila siku.
 
TULISHAONYWA KUISHI NAO KWA AKILI,KUISHI KWA AKILI NI PAMOJA NA KUJUA AKILI ZA MKEO AU MPENZIO.
 
Sure, kila baby na baby wake
 
Hivi wanawake wenyewe hawanaga hela, hadi ifikie kwamba eti "umpe sh.ngapi?" sipendi mie hiyo tabia ya kujiona wanaume ndio wenye hela sisi hatuna.
mxewweeew kwani nyie ndio mnaojua kutafuta hela wanawake hawajui.
 
Mwanamke mkalishe chini mwambie apige hesabu ya chakula cha mwezi mzima,kisha chukua fungu lake mpe ,usisahau kumpa na extra money na matumizi yake,ila hakikisha asijue unapata kiasi gani?hapa kwenye mshahara ndio huwa pana mtihani kidogo ila jitahidi umtimizie mahitaji yake lakini asijue mshahara wako ni kiasi gani ,Leo unaweza usinielewe lakini iko siku utanielewa nilikuwa namaanisha nini
 
Gawaneni nusu kwa nusu, kama unapokea M1, MPE laki5 mwambie tutaonana mwezi ujao hapo ikiwa matumizi ya mwezi mzima pamoja mambo mengine yanayohusu jikoni.

Lakini haisiki na bill yoyote ada na gas, mkaa juu yko baba mjengo, hapo mtaishi kwa amani wala hatutawapiga vibomu snaa maisga saaafiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…