Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Kwanza kabisa sina tamaa ya kitu nisichokuwa na uwezo nacho.

Pili sina njaa kabisa.

Tatu nimeridhika na hali ya maisha yangu,sina tamaa na pesa za watu.

Nne nimekaa chuo zaidi ya hiyo miaka na mwezi wa 12 nitakuwa navaa joho langu pale UDOM
Unitafute Niko DodomaHapa Airport
 
Mkuuu...mbona unajazba na Munkari Sana..Nini shida.. nimekutumia buku nenda kanywe Coca-Cola baridi upunguze stress...Maana unajifanya unajua Sana maisha yawatu na kuyachambua...

Hehehehe...kalagabaho
Aisee!!!,kwa hiyo na wewe unataka mume?!!!!!!.
 
Inamaana wewe huna majukumu yako? Kama ni hivo labda kama mpo karibuni kufunga ndoa au mna mpango wa kuishi pamoja siku za karibuni. Nasema siku za karibuni!
Hakuna mpango Huo kwangu Mimi...yeye aanataka sogea tuishi.
 
Kuna mtu aliwah nitolea nguo nifue eti yaan alizikuta hivyo hivyo hivyo
Wanawake muache viherehere vya kuwafulia wanaume tena hajakuoa ,hakutunzi
Na wewe uache kiherehere Cha kupokea pesa wanaume
 
Hapaaaa napooo unatakaaa ushauriii[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Wanawake wanazidi kupungua Wamebaki wasichana
 
Back
Top Bottom