ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 248
Kwio akeee 😀😀Kweli kabisa kuna baadhi ya maneno/emoji akiandika mwanaume inaleta ukakasi kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au hii [emoji85], Af hyo kwio hiv inamaanisha nn, maana hua najikuta nakereka tu nikiona mtu kaiandikaKwio akeee [emoji3][emoji3]
Lol
Jamani
Nk
Mimi jamani naitumia SanaKwio akeee [emoji3][emoji3]
Lol
Jamani
Nk
Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humorAu hii [emoji85], Af hyo kwio hiv inamaanisha nn, maana hua najikuta nakereka tu nikiona mtu kaiandika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] ila bongo mambo ya ajabu ajabu ndo hua yanahit sjui tupoje.Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Havielewek wakat u actualy cramed the whole song for gods sakeMaana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Kama hiviManeno kama
Kwio akeee
Jomoni
My
Mwanaume kutumia maneno kama hayo ni ujinga na upumbavu tena sio uanaume
Emoji kama hii [emoji85]
Nyingine mtaongeza wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app