Mwanaume akijua huna kazi anakuacha. Najiuliza kwanini?

Likewise to women...

Mie mwenyewe leo hii tu nimepewa kibuti cha mbavu na ledada , ni baada tu ya kugundua kuwa Kaveli ni jobless a.k.a unga unga mjini, msosi wa manati. Geto lina godoro tu liloisha kava.

So hili suala lipo kote kote. Ila hata hivyo, kazi ya moyo ni kusukuma damu, 'maloveee' ni kiherehere chetu tu wanadamu.

-Kaveli-
Hahahahaha dah kaka bwana
 
Yaani asilimia kubwa ya wanaume wanakuwa hawataki wanawake ambao hawana kazi. Wengi watatulia na walio na ramani.

Yupo tayari kumvumilia dent alioko shule kuliko mwanamke asiye na kazi. Mara nyingi naona hili ni tatizo.

Mbona nyie watu wanawakuta hamna hata hela ya maji wanawasaidia lakini nyie hamuwasaidii?

Halafu mnapenda mpewe hela. Hamtaki kuacha kuomba hela, hii tabia imeanza lini??
Mbona mm nakuvumilia, heheheheheheh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wanaume ni wachache sana waliobaki dunia hii.

Kati ya hapo wachache kuna huyu alishawahi tamka hata maneno.

"I love u from da bottom of my heart, sio wewe ulivyo, wala elimu yako, wala kazi yako, mm kwangu hivyo havina maana maana sihitaji hayo yote maana Nina uwezo ka kukupa zaidi, mm nakutaka wewe" MTU mmoja aliandika sehemu😂🙌
 
Kwa msisitizo, tayari jina lishabadilika... now naitwa 'kaka'. Daah ama kweli sie walalahoi wanawake wazuri tutaishia kuwala kwa macho na kuwaita 'dada/shemeji' tu. :D:D:D

-Kaveli-
Hahahahaha ulinikimbia alafu kaka
 
Tuliostaafu kutongoza sababu ya vizinga visivyo na formula tunacomment wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom