Mwanaume ajinyonga kituo cha polisi Kenya, Familia yatilia mashaka maelezo ya polisi ikidai uchunguzi ufanyike kubaini kilichojiri

Mwanaume ajinyonga kituo cha polisi Kenya, Familia yatilia mashaka maelezo ya polisi ikidai uchunguzi ufanyike kubaini kilichojiri

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua

Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya, anayejulikana pia kama Rûîgì, alikamatwa asubuhi ya Jumatatu kwa madai ya kuwazuia maafisa wa polisi kufanya kazi yao wakati akiwa amelewa

Aliwekwa rumande asubuhi, lakini alipatikana amefariki chini ya saa mbili baadaye

Polisi wanasema afisa aliyekuwa zamu aligundua kuwa Thumbi alijinyonga ndani ya korokoro yao kwa kutumia shati lake alilolifunga kwenye kufuli ya mlango wa ndani

Lakini familia na jamaa wametilia mashaka kauli ya polisi na wanataka uchunguzi kamili ufanywe kubaini kilichojiri

Wiki chache zilizopita, kijana mmoja Albert Ojwang alifariki mikononi mwa polisi. Polisi walidai kuwa alikufa kutokana na majeraha baada ya kugonga kichwa chake kwenye ukuta. Lakini uchunguzi hali tofauti

====
A family in the Kipipiri area is demanding a thorough investigation and justice following the death of their relative, who allegedly died by suicide while in police custody at Turasha Police Station.
According to a police report obtained by Citizen Digital, the deceased, 44-year-old Ruigi Ndubi, was arrested for allegedly obstructing police officers performing their duties.

The report notes that Ndubi appeared intoxicated at the time of his arrest

According to the report, during a routine check at 12:46 p.m., an officer discovered the suspect dead inside the cell. It claims that he hanged himself with his shirt, which was tied to the padlock on the inner cell door.

However, the deceased's family has questioned the official account, citing suspicious circumstances surrounding his death.

According to relatives, Ndubi was discovered with his knees touching the ground, an unusual position for a hanging, casting doubt on the claim that he committed suicide.

"It doesn’t make sense. The place they are describing is barely a foot high. They claim he tied his shirt to a padlock and hanged himself, which is impossible," said Simon Irungu, a relative, in an interview with Inooro TV. "We don’t even know who arrested him. We’re hearing he was picked up while heading to a nearby shopping center"

Local leaders have joined the family in calling for accountability. Githioro Ward MCA Isaac Mbae urged the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the Independent Policing Oversight Authority (IPOA) to take over the case

"A middle-aged man was arrested by police in Turasha and later died in custody. We urge IPOA and DCI to investigate because the explanation of how he allegedly hanged himself doesn’t add up—he was found on his knees," Mbae told the media

Kipipiri Member of Parliament Wanjiku Muhia condemned what she called a troubling increase in police brutality and urged the national government to intervene

"We are appealing to the president to protect Kenyans. It cannot be that those tasked with our safety have now become the greatest threat," said Muhia. She also expressed concern over a planned postmortem, saying she would oppose any rushed attempt to determine the cause of death without full transparency

kenya.png

Source: Citizen TVCitizen Digital
 
Back
Top Bottom