Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Aaaah wee, huo mchepuko ulikifuata nyumbani kwako, ukafunua hotpot ukakuwekea limbwata? Si umeufuata mwenyewe huko nje? Tukiwaambia tulieni na wake zenu, mnadai ooh sisi kuwa na wanawake wengi ni asili yetu. Me kalichume tu janga huko nje, utalila na kulitafuna peke ako. Na wengine hakuna cha limbwata wala nini, ulimbukeni wao tuHayo ndio mapungufu ya wanaume tuliowengi hii hutokea kwa limbwata yaani uchawi au hali ya kawaida ila mara chache.
Fikiria Kwa kina ni Baba yupi anatamani kuitelekeza familia yake yaani Mke aliyemsotea kumuomba amuoe na watoto aliozaa na huyo mke.
Tatizo ndoa nyingine haziko Kwa upendo bali shinikizo alimtia mimba basi wanaishi, alimuwekea madawa limbwata basi wanaishi akija kaenda Kwa mkali zaidi mganga basi jamaa anahama.
Wewe utafikiri ni hela imemkimbiza kumbe mchepuko umemtengeneza baada ya kuona hela.
For better- anahamia kwa michepukoUnaona eeeh
Iisa cha kufa kwa starehe za mwingibe nani anataka....
Yaani nakutiririsha tu
Hukunithamini ulipokuwa nacho leo huna ndio uone thamani yangu?????
Ndio tunajua wanarudigi....lakina hapana aisee kiroho safi abaki huko huko
Acha tuFor better- anahamia kwa michepuko
For worse- I love you mke wangu mtcheeew
daima sitamzingua mke wangu pili nitakapooaumeona ee .ndo mpango mzima mine
Teh yani me hiyo neema Mungu aninyime tuAcha tu
Mnatafuta weeeee
Mkipata wewe ndio unakua mzee...sio type yake ..... anadakwa na micheps zikiisha arudi mfyuuuuuuuuu hizo zikikuwa enzi za bibi zetu.....enzi hizi hainaga kurudi.....
Hapa umechoma kumoyo, na hii ipo kwa wanandoa wengi sana. Mtu anahangaika weee, siku akiukwaa hasemi, anaanza dozi kimya kimya. Wewe mwenzangu na mimi hadi uje ushtuke uwiii. Watu wengine wauaji khaaIkifanyika stop and search za ARV's anaekutwa nazo awekwe ndani, nusu hawatarudi majumbani😡😡
Yaani hawa wanaume wajue tu wakienda wameenda......Teh yani me hiyo neema Mungu aninyime tu
Wakati mlioana wote mkiwa wazima, akwambie mabadiliko wakati yeye anajua njia alizopita?Hapa umechoma kumoyo, na hii ipo kwa wanandoa wengi sana. Mtu anahangaika weee, siku akiukwaa hasemi, anaanza dozi kimya kimya. Wewe mwenzangu na mimi hadi uje ushtuke uwiii. Watu wengine wauaji khaa
Teh arudi wapi tena? ahamie tu kwa ndugu zake eishhYaani hawa wanaume wajue tu wakienda wameenda......
Yaani siku watakapoamua kutelekeza mke na watoto akale gud time ale tu akiishiwa arudi kwa wazazi wake (iwe mjini au kijijini, wawe hai au wamekufa)
Aaaah wee, huo mchepuko ulikifuata nyumbani kwako, ukafunua hotpot ukakuwekea limbwata? Si umeufuata mwenyewe huko nje? Tukiwaambia tulieni na wake zenu, mnadai ooh sisi kuwa na wanawake wengi ni asili yetu. Me kalichume tu janga huko nje, utalila na kulitafuna peke ako. Na wengine hakuna cha limbwata wala nini, ulimbukeni wao tu
Hata kama ilitokea sababu yoyote mkajikuta kwenye ndoa bila kutegemea, basi ikubali tu hiyo ndoa yako iboreshe, itunze na utaifurahia, otherwise usimuoe mtu kama unajua utampa tu mateso. Na wengine wanaoa kwa mapenzi yao, ila baadaye ndo utasikia "wewe sio hadhi yangu", nenda kwa wenye hadhi yako basi, ila omba usije ukarudi kwangu tu. Afu mwingine kisa hampendi tena mke, ndo na watoto hawajali tena, inahusu nini
Kwa hiyo tufe wote? Yeye kagharamika huko na raha juu kuyatafuta maradhi, aje kunipa mie maradhi bure bure? aseeeeeeeeWakati mlioana wote mkiwa wazima, akwambie mabadiliko wakati yeye anajua njia alizopita?
Lakini kuna watu wanakuwa waaminifu sana, tena mara nyingi ni wale waaminifu lakini imetokea ajali, atamwambia mke wake, nililala na mtu bila kinga, tusubiri miezi mitatu ipite nikapime kwasasa tutumie kinga. Ni wachache lakini wapo.Kwa hiyo tufe wote? Yeye kagharamika huko na raha juu kuyatafuta maradhi, aje kunipa mie maradhi bure bure? aseeeeeeee
Mbona hamrudigi mapema bado mkiwa na afya njema na hela zenu?Kuchepuka dhana Pana sana sasa mtu anaweza kujiweka karibu akakupata mfano picha za whatup profile limbwata sio lazima upikiwe tu.
Kuna mengi Kwa kila linalomtokea mwanaume na ukitaka kujua hayo ndio maana baada ya muda akili zinarudi na mtu anaanza kurudi Kwa familia yake.
Ingekua tu ni maamuzi basi wasingerudi moja Kwa moja bali wangekua wanaenda azima.
Ukienda makanisa ya kiriho au kwa waganga matatizo mengi ya wanawake ni haya ya mahusiano.
Wa hivyo ni mmoja kati ya million. Wengi wanachepuka na hawajisikii hatia kuchepuka afu bado likuambukize mtcheeewLakini kuna watu wanakuwa waaminifu sana, tena mara nyingi ni wale waaminifu lakini imetokea ajali, atamwambia mke wake, nililala na mtu bila kinga, tusubiri miezi mitatu ipite nikapime kwasasa tutumie kinga. Ni wachache lakini wapo.
Kurudi ni mpaka dawa ipungue nguvu hii inachukua mda kutegemeana na mtaalamu alivyoweka mambo hivi vitu vipo sana.Mbona hamrudigi mapema bado mkiwa na afya njema na hela zenu?
Makanisa ya kiroho wanajaa wanawake kulilia ndoa zao, ndoa upate picha wanaume wengi walivyo headache kwenye ndoa zao. Tena ukipata mke muombaji shughuli Mungu, mwingine msumbue tu kidogo anakugeuza ndondocha Mbona
Hahaha leo lawama zote kwa michepuko teh teh. Tulieni na wake zenuKurudi ni mpaka dawa ipungue nguvu hii inachukua mda kutegemeana na mtaalamu alivyoweka mambo hivi vitu vipo sana.
Kuna biashara watu wanatumia kizizi michepuko mingine inatumia sana hivi vitu hasa iking'amua una hela ndio gusa unase sijui nini?
Fedha ikiisha wanakuagua wenyewe unarudi Kwa wife. Lawama zinaanza halo.