Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.Nimeamini Mwenye tabia yake haachii!kama mtu mzinzi ni mzinzi tu atajipa muda baada atarudi pale pale kwenye tabia yake,
Kama mpigaji nae hvyo hvyo!!
So kama unaamua kuanza mahusiano au ndoa na Mtu Mwenye tabia yoyote ile bas we kaa ukijua hiyo ndo tabia yake na hatoacha kamwe!
wengine washazoea kua tegemezi so akiondoka hana pa kuanzia
Wengine wanapenda pesa hata watobolewe macho!
Wifi yangu hajaolewa Ila anapigwa mpk kazimia mwanume hamtaki yy anamng'ang'ania kisa amezaa nae na yy anadai anampenda
Yaani analazimisha ndoa mwanaume kasema hamuoi yaani vurugu tupu!
Wakikaa pamoja kila Siku kupigana sasa maisha gani hayo!
Wanafurahisha shetani huku kiti anaumia!!
Afadhali mkubalianae kupeana break, kila mtu apumulie kivyake, imgine jitu linakuudhi na ukitoka kazini mnakutana😡
Wengine wanampenda mwanaume ukitegemea atabadilika, wakati unaumia wewe, kwanza akishajua umejua kuna mwingine na wewe umeaccept, ndiyo mwanzo wa kukutia kidole.
Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.
😛😛😛Kuwa hopes kuwa mtu atabadilika is wrong (my opinion)
Haya mambo ya ku compromise na ku ignore red flags simply because you want to be a part of the marriage circle, is clearly wrong. Kuna siku litakuja kulipuka tu.
Kibongobongo bila ndoa haujakamilika !Aisee!, inasikitisha. Sisi wanawake nao!
Kwani usipoolewa huwezi kuishi?
Halafu kwa hela, kama atapata za matunzo ya mtoto shida iko wapi?
Tatizo anataka kuwa na mwanaume ndani, halafu mwanaume mwenyewe jina tu...mbona kazi.
Kibongobongo bila ndoa haujakamilika !
Hiko ndo hutucost wengi sana!!
Na vile kurushana roho sasa!
Hvyo hvyo mwisho wa siku wengi tunaambulia mateso na majuto!Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.
Wengi wao wanaume wanabadilika ukiwa wewe ndiye mwenye uchumi imara, unakuta na yeye brother hataki kuumbuka mjini, anaangalia huko kote anapoteza. Utasikia darling basi mimi nitakudrop kazini asubuhi. Wanaume ni wajanja sana.Hvyo hvyo mwisho wa siku wengi tunaambulia mateso na majuto!
Wapo baadhi waliofanikiwa kuwabadilisha waume zao Ila si wote
Haya maisha ya kulazimisha ndoa sio kabisa!.Jamii nazo zinatupa presha sana kwa kweli!
Usipoolewa sio mwanamke loohh!
Yaah!maana anajua ana manufaa napo[emoji2] [emoji2] .Na tulivyo dhaifu acha tu!kuna kitu umenikumbusha daahh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja nicheke tu mamyy!Wengi wao wanaume wanabadilika ukiwa wewe ndiye mwenye uchumi imara, unakuta na yeye brother hataki kuumbuka mjini, anaangalia huko kote anapoteza. Utasikia darling basi mimi nitakudrop kazini asubuhi. Wanaume ni wajanja sana.
😀😀😀😀😀😀😀Yaah!maana anajua ana manufaa napo[emoji2] [emoji2] .Na tulivyo dhaifu acha tu!kuna kitu umenikumbusha daahh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja nicheke tu mamyy!
Kweli kabisa!
Vipi kwa upande wako, missed you though!Yaani, ukisikia vitu wanafanya kwa ajili tu mtu aolewe!, sad kwa kweli.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaah!maana anajua ana manufaa napo[emoji2] [emoji2] .Na tulivyo dhaifu acha tu!kuna kitu umenikumbusha daahh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja nicheke tu mamyy!
Kweli kabisa!
Ya nini kumuua, si uondoke umwache?mi nipo kwenye harakati za kujifunza kuua bila kutazama uson.coz this is tumachi wanatutendea
Si uombe talaka au uondoke tu na kumwacha? Kwani amekufunga kwa pingu?Ishu ni kuwa silent killer,,unajidai unavumilia kumbe mipango yako haijakamilika
Vipi kwa upande wako, missed you though!
kweli je!!Wanawake bana kwenye migogoro ya Ndoa huonyesha wao ndiyo wanaonewa sana.
Sasa ukija kusikiliza upande wa pili....oooh. Ni bahati nzuri Wanaume si watoa siri hasa inapohusu ndoa!! Wanakufa na tai shingoni