Mwanaume (34 - 42)

Mwanaume (34 - 42)

Hivi kwani wanaokuwa kanisani ni kina nani? hakuna watu wa JF wanaokuwaga kanisani? Tunaokutana nao shopping na sehemu za kijamii ni kina nani?? (sio hawa humu JF?), na wakazini je? (sio hawa JF). Na hawa waharibifu wa JF (according to you) wanatokea wapi???(sio makanisani, shopping na makazini?) naomba uondoe mtazamo wako potofu, popote pale unaweza ukatendwa big time, naomba uombe wadau radhi maana ni kama unaona watu wa JF ni matatizo matupu. tubadili mtazamo jamani, social media zikitumiwa vizuri zinaweza kabisa kuisaidia jamii, na the good thing kuhusu hapa, unaweka jina sio real na unaongea kile unachojisikia katika moyo wako, haya huko shopping, kanisani, kazini utaanza kujichekelesha na kila mtu? au utasimamisha watu uwaambie unataka ukutane na mwanaume? Tuache na JF yetu.

Wakanisani, kazini n.k hao unawaona physically na mnaongea physically ni rahisi kwa wewe kuwaelewa zaidi kiuhalisia, kuliko wa mtandaoni. Wa mtandaoni unapompa mwaliko wa hivyo huwa anajianda mara nyingi ni kimagumashi.

JF ina watu wote, wapo wenye busara zao pia. Na hawa wenye busara (esp 34yrs old & up) hata siku moja hawatatafuta mke humu au kwenye mitandao mingine, wenye busara wana strategy zao zenye busara za kupata mke, lazima uelewe hicho kitu. Ma player ndio watakaokutokea humu JF na kwenye mitandao mingine.

Ni sawa social media zikitumiwa vizuri zinaweza kuisaidia jamii, lakini je ni mara zote zinatumiwa vizuri?

Kama huko shopping na kanisani utakuwa unajichekesha kwa kila mtu na kuwaambia unataka mwanaume then wewe huna mbinu za kupata mwanaume na ndio maana unahangaika.
Sasa kuweka bango JF si ni sawa na kumwambia kila mwanaume wa humu kuwa unatafuta mwanaume? unakataa nini na unafanya nini?

Mimi nimetoa ushauri tu, ungeweza kuignore kama unaona haufai.

Kwa mtazamo uliokuwa nao, sishangai kukuona uko single na unahangaika kutafuta wanaume. Na bado una safari ndefu na usipoangalia unaweza usifanikiwe kumpata mwenye vigezo ulivyovitaja.
 
umeshinda hongera. happy?
 
We waweza kua sereous kwa mtazamo wangu! Kila la gheri najua me ckufau!
 
Hivi kwani wanaokuwa kanisani ni kina nani? hakuna watu wa JF wanaokuwaga kanisani? Tunaokutana nao shopping na sehemu za kijamii ni kina nani?? (sio hawa humu JF?), na wakazini je? (sio hawa JF). Na hawa waharibifu wa JF (according to you) wanatokea wapi???(sio makanisani, shopping na makazini?) naomba uondoe mtazamo wako potofu, popote pale unaweza ukatendwa big time, naomba uombe wadau radhi maana ni kama unaona watu wa JF ni matatizo matupu. tubadili mtazamo jamani, social media zikitumiwa vizuri zinaweza kabisa kuisaidia jamii, na the good thing kuhusu hapa, unaweka jina sio real na unaongea kile unachojisikia katika moyo wako, haya huko shopping, kanisani, kazini utaanza kujichekelesha na kila mtu? au utasimamisha watu uwaambie unataka ukutane na mwanaume? Tuache na JF yetu.

Unaonekana umekomaa sana kifikra,na nimeupenda msimamo wako.Kila la kheri mama na wala wasikukatishe tamaa,mimi mwenyewe mtarajiwa wangu niekutana naye humuhumu JF..
 
Yaani ubabu wote huo bado hujaoa na hauitwi vikao vya wazee? Aisee! Hebu acha kumkopa dada wa watu, hata mwezi mwandamo unatarajiwa na unaoneka. Anzisha thread ya kuomba michango fasta

Kwa nini JF Members hasa wa muda mrefu mmejaa negativity tuuuu na madiscouragement kibaoo kwa wenzetu.Kwanza nashangaa kama hutafuti mke,mume,mchumba,rafiki etc why are u visiting Love Connect,nimegundua hata mnaoclaim kua mmeoa au mmeolewa 99% hamna furaha katika ndoa zetu ndio sababu kucha mnavisit hili jukwaa kutafuta who to cheat with.
Wengi wenu mmechangia kupoteza maana ya Jukwaa hili,mimi naliona kama jukwaa la wamama na wababa ushauri wala si jukwaa lenye nia iliyokusudiwa,waharibifu na wapotofu wa maana ni JF members wenyewe.

Wakanisani, kazini n.k hao unawaona physically na mnaongea physically ni rahisi kwa wewe kuwaelewa zaidi kiuhalisia, kuliko wa mtandaoni. Wa mtandaoni unapompa mwaliko wa hivyo huwa anajianda mara nyingi ni kimagumashi.

JF ina watu wote, wapo wenye busara zao pia. Na hawa wenye busara (esp 34yrs old & up) hata siku moja hawatatafuta mke humu au kwenye mitandao mingine, wenye busara wana strategy zao zenye busara za kupata mke, lazima uelewe hicho kitu. Ma player ndio watakaokutokea humu JF na kwenye mitandao mingine.

Ni sawa social media zikitumiwa vizuri zinaweza kuisaidia jamii, lakini je ni mara zote zinatumiwa vizuri?

Kama huko shopping na kanisani utakuwa unajichekesha kwa kila mtu na kuwaambia unataka mwanaume then wewe huna mbinu za kupata mwanaume na ndio maana unahangaika.
Sasa kuweka bango JF si ni sawa na kumwambia kila mwanaume wa humu kuwa unatafuta mwanaume? unakataa nini na unafanya nini?

Mimi nimetoa ushauri tu, ungeweza kuignore kama unaona haufai.

Kwa mtazamo uliokuwa nao, sishangai kukuona uko single na unahangaika kutafuta wanaume. Na bado una safari ndefu na usipoangalia unaweza usifanikiwe kumpata mwenye vigezo ulivyovitaja.
 
Yaani ubabu wote huo bado hujaoa na hauitwi vikao vya wazee? Aisee! Hebu acha kumkopa dada wa watu, hata mwezi mwandamo unatarajiwa na unaoneka. Anzisha thread ya kuomba michango fasta

Mama wanasemaga Haraha haraka haina baraka na Polepole ndio mwendo kisha usisahau Kawia ufike...
 
Busy mama na mtarajiwa awe busy...mtajenga saa ngapi familia?

Lazima mmoja apunguze speed kana mwataka iwork out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom