Mwanaume (34 - 42)

Mwanaume (34 - 42)

Ni mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown.

Ni haja ya moyo wangu na ikimpendeza mungu nikutane na mwanaume (single/divorced/widowed) anayeishi peke yake na asiyekuwa na mahusiano, ambaye hasa anahitaji kuwa na serious relationship ambayo ikipendeza tutaelekea next steps.

Awe mkristo mcha mungu, awe na wa/mtoto, awe mtu anayependa na kujali watoto, business minded, elimu angalau diploma, awe sharp, mchangamfu, aliyeajiriwa na/au anabiashara binafsi, napenda ambaye yuko busy na shughuli sababu mimi pia niko busy sana tutaendana.

asiyekunywa pombe au anayekunywa kidogo sana, wa kanda ya kaskazini itapendeza lakini si muhimu sana. Awe anayejipenda na awe na mwili wa wastani.

Maswali yote PM tafadhali, au mail triciamasawe@yahoo.com

Asanteni.

Aisee, kila la kheri.
 
Aisee tatizo ni kubwa mpendwa, naona kama hautaielewa situation yangu ya kuwa na watoto vizuri, thats why nahitaji mwenye mtoto. Pole sana usikate tamaa kuna mabinti wengi utapata mmoja.

Sidhani km mantiki ya kuwa na mtoto ni pwenty ya mtu kupenda watoto........wengi wamepata watoto si kwa kupenda ila ni km wamenasa tu wakiwa kwenye starehe zao..........anyway ukiona vp niweke kwenye sub......mm huwa ni super sub mwenyewe utafurahi, naijua kazi yangu vema ila lazima unipe mtoto as soon as the first day we make love.....nipo benchi nasubiri namba.........sawa mamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
. Unachosema ni kweli lakini unajua perception ikimuingia sana mtu inakuwa reality. nakuweka reserve though.
 
Sasa na mimi ninaeishi na masela, ila nina mtoto ana miaka minne 4 yah anasoma kaanza mwaka huu standard one
Unaishi na Masela in the age range I have mentioned? you must not be serious? au masela ni kina nani???
 
Ni mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown.

Ni haja ya moyo wangu na ikimpendeza mungu nikutane na mwanaume (single/divorced/widowed) anayeishi peke yake na asiyekuwa na mahusiano, ambaye hasa anahitaji kuwa na serious relationship ambayo ikipendeza tutaelekea next steps.

Awe mkristo mcha mungu, awe na wa/mtoto, awe mtu anayependa na kujali watoto, business minded, elimu angalau diploma, awe sharp, mchangamfu, aliyeajiriwa na/au anabiashara binafsi, napenda ambaye yuko busy na shughuli sababu mimi pia niko busy sana tutaendana.

asiyekunywa pombe au anayekunywa kidogo sana, wa kanda ya kaskazini itapendeza lakini si muhimu sana. Awe anayejipenda na awe na mwili wa wastani.

Maswali yote PM tafadhali, au mail triciamasawe@yahoo.com

Asanteni.

Ukitafuta mwenza usiweke vigezo vingi hivyo, kwa sababu hapa hauchagui bidhaa, maana yake ni kwamba unachagua binadamu mwenye akili yake inayojitegemea. Je unadhani wanaume wenye vigezo hivyo huwa hawachagui mwanamke wa kuwa nae kwenye uhusiano wa muda mrefu? Na wao wanavigezo vyao. Humu JF watakao ku-PM ni wale watu wa hit and run.
Wewe ni mkristu, unakwendaga kanisani, pengine pia unajishughulisha na shughuli za ziada za kanisa, kwa nini usijaribu kujenga mazoea na waumini wenzio pengine unaweza kupata mtu.
Pia huwa unakwenda kazini, shopping, sehemu za kujamii,.... ni kwa nini usianzishe urafiki na hao watu unao interact nao sehemu hizo mbalimbali?
Omba Mungu akusaidie, usifanye papara siku moja utapata.
Nakutakia kila la heri.
 
andate umetoa ushauri mzuri sana kwa bi mama aisee.. asipo kuelewa atakutana na mimi
Ukitafuta mwenza usiweke vigezo vingi hivyo, kwa sababu hapa hauchagui bidhaa, maana yake ni kwamba unachagua binadamu mwenye akili yake inayojitegemea. Je unadhani wanaume wenye vigezo hivyo huwa hawachagui mwanamke wa kuwa nae kwenye uhusiano wa muda mrefu? Na wao wanavigezo vyao. Humu JF watakao ku-PM ni wale watu wa hit and run.
Wewe ni mkristu, unakwendaga kanisani, pengine pia unajishughulisha na shughuli za ziada za kanisa, kwa nini usijaribu kujenga mazoea na waumini wenzio pengine unaweza kupata mtu.
Pia huwa unakwenda kazini, shopping, sehemu za kujamii,.... ni kwa nini usianzishe urafiki na hao watu unao interact nao sehemu hizo mbalimbali?
Omba Mungu akusaidie, usifanye papara siku moja utapata.
Nakutakia kila la heri.
 
Last edited by a moderator:

Hivi kwani wanaokuwa kanisani ni kina nani? hakuna watu wa JF wanaokuwaga kanisani? Tunaokutana nao shopping na sehemu za kijamii ni kina nani?? (sio hawa humu JF?), na wakazini je? (sio hawa JF). Na hawa waharibifu wa JF (according to you) wanatokea wapi???(sio makanisani, shopping na makazini?) naomba uondoe mtazamo wako potofu, popote pale unaweza ukatendwa big time, naomba uombe wadau radhi maana ni kama unaona watu wa JF ni matatizo matupu. tubadili mtazamo jamani, social media zikitumiwa vizuri zinaweza kabisa kuisaidia jamii, na the good thing kuhusu hapa, unaweka jina sio real na unaongea kile unachojisikia katika moyo wako, haya huko shopping, kanisani, kazini utaanza kujichekelesha na kila mtu? au utasimamisha watu uwaambie unataka ukutane na mwanaume? Tuache na JF yetu.
 
mnnnhhh wewe mbona kama ni yule nanihii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom