Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Mkuu, niliandika hii thread nikijua wengi wa wana JF huwa ni wazito kutafakari. Lakini nahisi umenielewa.
Hahaha! Sasa hapo chambua. Ilikuwa kauli ya kipumbavu kwa kuwa Zitto hutoa kauli za kipumbavu, au ilikuwa kauli ya kipumbavu toka kwa mwanasiasa makini aliejua alichokuwa anafanya?ulishawahi kujiuliza pia lengo la zitto kuzusha kuwa mr president is dead na akamuweka yule mama kukagua gwaride?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano halisi wa kauli ya kipumbavu!Nyumbu fanya kazi acha kulalama hovyo hovyo Kama uko kwenye heat
ulishawahi kujiuliza pia lengo la zitto kuzusha kuwa mr president is dead na akamuweka yule mama kukagua gwaride?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh, interesting. Kwa hiyo tukichukua parallel, mtu akisema serikali isitangaze wanaokufa kwa Coronavirus ni kwamba anatoa ujumbe kuwa serikali haitangazi wanaokufa kwa virus?Sisi wengine tulielewa kwamba kuna mpango ambao ZIto alishaupanga akiwa siyo peke yake labda na kwa msaada wa watu wengine ndani na nje àkiamini uneshafanikiwa kwa aslimia 100. Ndiyo maama akatoa ile picha kwa majivuno na kiburi kile.
Fanya kazi acha kulaumu laumu hovyo hovyo kulalamika mitandaoni bila sababu Ni upumbavuMfano halisi wa kauli ya kipumbavu!
Hii thread inalalamikia jambo? Uwezo wako wa kusoma ukaelewa ni mdogo sana, unajidhihirisha wazi.Fanya kazi acha kulaumu laumu hovyo hovyo kulalamika mitandaoni bila sababu Ni upumbavu
Zito na Kigogo ni wanafki waliokubuhuulishawahi kujiuliza pia lengo la zitto kuzusha kuwa mr president is dead na akamuweka yule mama kukagua gwaride?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hayo mashairi yako uliyo yaandika ulikuwa unafikiri Ni nini mjinga siku zote hujiona mwerevu na husema angalia uwezo wako mdogo sanaHii thread inalalamikia jambo? Uwezo wako wa kusoma ukaelewa ni mdogo sana, unajidhihirisha wazi.
Mimi hata sijakuelewaMkuu, niliandika hii thread nikijua wengi wa wana JF huwa ni wazito kutafakari. Lakini nahisi umenielewa.
Alitaka angalau watanzania tupate furaha hata ya siku mbili baada ya miaka minne ya majonzi na kusaga menoulishawahi kujiuliza pia lengo la zitto kuzusha kuwa mr president is dead na akamuweka yule mama kukagua gwaride?
Sent using Jamii Forums mobile app