Mwanasiasa gani mkali katika jukwaa anapohutubia wananchi

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
459
Wadau katika harakati za kisiasa hapa nchini kuna wanasiasa vijana kwa wazee ambao akipanda jukwaani wananchi lazima wachanganyikiwe kwa hoja zake na mvuto Wa Sera zake kwa mfano hawa hapa chini

1: Mwigulu Nchemba - siasa zake ni mwiba kwa CHADEMA.

2: Lusinde - siasa za kipropaganda anapokuwa jukwaani.

3: Lema - siasa za kiharakati zaidi anapokuwa jukwaani. Siasa za chuki dhidi ya serikali

4: Joshua Nassary - siasa za kikanda na ukabila na maslahi ya Pesa.

5: Nape Nnauye - siasa zenye tija kwa CCM zaidi kuliko taifa.

6: Magufuli na Mwakyembe - siasa za maendeleo wanapokuwa jukwaani

Kama mnanyongeza za wanasiasa wengine.

Nawasilisha.
 
Inategemea audience.
Mbunge Godbless Lema ana uwezo wa kuhutubia vijana wanywa viroba na mateja wa Arusha wakishalewa viroba vyao.
 
Kuna jamaa anaitwa Laurence Tara nasubiri mwakani aingie bungeni,ila lisu na mbatia wanajenga hoja vizuri
 
ONGEZEA NA HUYU
JK/ Kikwete I mean :- Siasa za mipasho na kucheka cheka hovyo kwa hata visivyochekesha
 
Pinda :- siasa za kulia lia na kuona kwamba kuna mwingine anayehusika kuwajibika katika utekelezaji na sio yeye. Siasa za kinyonge na kujishusha kupata huruma za wananchi kwamba yeye ni kama wao maana ni mtoto wa mkulima.!!
 
4: Joshua Nassary - siasa za kikanda na ukabila na maslahi ya Pesa.

yaani hapa umepatia kaka, ila ndio hivyo wameru wote walivyo, ref. juzi juzi alichukua wameru wanzake wakaenda kujigawia mashamba wenyewe bila kufuata taratibu za kisheria, na walikuwa wangawana wameru tuuuuuuuu, ole wake kabila lingine lisogelee
 
Joshua nasari ndio siasa zake mkuu zimeegemea zaidi ukabila na Pesa mbele.
 
Mrisho Gambo, DC wa Korogwe. Watendaji wa Halmashauri hiyo wanakomaje!
 
Mleta uzi kama ni mmarangu atakuwa mmarangu seeeeeennnng££££ kuliko wote
 
Inategemea audience.
Mbunge Godbless Lema ana uwezo wa kuhutubia vijana wanywa viroba na mateja wa Arusha wakishalewa viroba vyao.
Inaonyesha ni kwa jinsi gani ULIVYO MTUPU KICHWANI MWAKO. UKOME TENA IWE MWANZO NA MWISHO KUWADHARAU VIJANA WA ARUSHA. Kwa mawazo yako hayo, hufai hata kuwa baba wa FAMILIA.
 
KINANA-Siasa za kisanii kutembea na kata mbuga na kula kwa mama ntilie kuwahadaa wananch kwamba yeye ni masikin kama wao
 
Inategemea audience.
Mbunge Godbless Lema ana uwezo wa kuhutubia vijana wanywa viroba na mateja wa Arusha wakishalewa viroba vyao.

Utakuwa unasumbuliwa na lemaphobia si bure! Lema ni noma hutaki unaacha,nakumbuka kipindi kavuliwa ubunge nilibahatika kumsikiliza vizuri nikiwa bunda ama magu kama sikosei,alikuwa mwiba mchungu kwa magamba!
 
Back
Top Bottom