Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
magufuli kwa kuligawanya taifa na kuona upinzani km uadui//// kuleta njaa na kudidimiza uchumi................na magumashi meengi km yale ya kutuaminisha anapmbana na ufisadi kupandikiza chuki miongoni mwa watz...............................Edward lowassa
Kuingia ukawa asubuhi, jion kupewa dhamana ya kupeperusha bendera ya kugombea urais
Tena kaingia kwa watu waliomtusi miaka 8 mfululizo
Mkuu siasa tuMzee Mwenzangu Lowassa Alisema Akishindwa Urais Ataenda Kuchunga Mifugo Yake Ajabu Mpaka Leo Yupo Mjini